Sultan_mdosse
Senior Member
- Nov 24, 2013
- 145
- 16
Nami napenda iwe hivo "Neva hapen"Neva hapen.
Kuna tetesi na minong'ono kuwa Mtihani kidato cha sita mwaka 2015 ambao ulitarajiwa kufanyika mwezi Mei,Sasa umerudishwa nyuma na utafanyika mwezi Machi.
Sababu ikiwa ni suala zima la uchaguzi mkuu hapo mwakani.
Kwa mwenye kujua juu ya hili naomba atujuze tafadhali.
Ahsanteni!
Ratiba haijabadilika kulingana na taarifa iliyotolewa leo na baraza la mitihani
Mtihani utafanyika kuanzia tarehe 4 hadi 27 Mei 2015