Mtihani Kidato Cha Sita 2015 Kufanyika Mwezi March

Mtihani Kidato Cha Sita 2015 Kufanyika Mwezi March

Sultan_mdosse

Senior Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
145
Reaction score
16
Kuna tetesi na minong'ono kuwa Mtihani kidato cha sita mwaka 2015 ambao ulitarajiwa kufanyika mwezi Mei,Sasa umerudishwa nyuma na utafanyika mwezi Machi.

Sababu ikiwa ni suala zima la uchaguzi mkuu hapo mwakani. Kwa mwenye kujua juu ya hili naomba atujuze tafadhali.

Ahsanteni!
 
inawezekana manake wizara nzima ni ugoro tu.. hawaeleweki na maamuzi yao na kama itapitishwa hiyo tusilaumu matokeo mabovu yatakapotokea
 
Haha hii ikitokea wizara nzima ntawaona vilaza kuanzia ngazi ya juu hadi anayefanya kazi ya kukata karatasi wizarani.. l
 
Mimi sinto shangaa maana ndo wizara ya PHYSICS WITH CHEMISTRY mara division 5 ali mradi tu kila mtu akikaa pale anafanya sawa na alivyo shauriwa na mkewe
 
Hahaha labda hawa form 4 waliomaliza mwaka huu ndo watamaliza March maana kuu ni kuwa hawa waliopo muda wao utakuwa ni mdogo ku cover syllabus
 
wanatuumiza ila ngoja tu ipo siku na mm ntaajiriwa serikalini ntayalipa.
 
Kuna tetesi na minong'ono kuwa Mtihani kidato cha sita mwaka 2015 ambao ulitarajiwa kufanyika mwezi Mei,Sasa umerudishwa nyuma na utafanyika mwezi Machi.
Sababu ikiwa ni suala zima la uchaguzi mkuu hapo mwakani.
Kwa mwenye kujua juu ya hili naomba atujuze tafadhali.
Ahsanteni!

Ratiba haijabadilika kulingana na taarifa iliyotolewa leo na baraza la mitihani
Mtihani utafanyika kuanzia tarehe 4 hadi 27 Mei 2015
 
Hiyo ni tetezi amesema ila ukweli ni kwamba mitihani kidato cha sita na diploma za ualimu itafanyika Mei kama kawaida..
Source:Necta
 
Back
Top Bottom