Mtihani kweli kweli, dah SIMBA SC

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Hii ni kumbukumbu, itaishi.

Nadhani Simba SC guvu moja mmeshaona mnakikosi cha aina gani.

mmefika kwenye penalt box za mlandege 45 times ndani ya kumi na nane and still hamna mlichozaa dah , SSC !!

hii ni ishara kuwa hamna safu ya ushambuliaji na hamna striker machachari.

Kumbukeni pia SSC ipo loaded, wachezaji wake wote , ni mtihani mkubwa !

Je ni nini tatizo la SSC?

Mo Dewji na uwekezaji wake ni tatizo ?

Viongozi wa timu ni tatizo ?

Wachezaji ni tatizo ?

Kamati ya Usajili ni tatizo !?

Kama kuna mshabiki mwenzangu wa SSC , aliyemuelewa huyu Sarr aniambie !

Sajili za kufanya promo kwenye social media bila uwezo binafsi,, mmmh Sinba SC ,!!!!

Narudia Tena SSC mmejaza wazee kwenye uongozi mnatakiwa kuwa na young and fresh blood kwenye CEOs na nafasi nyingine.
Sarr mmepigwa, na mtaendelea kupigwa

Nadhan wachezaji wa SSC wanahitaji pschychological treatment ili kudevelop courage na morally ya players kama Dar Young African players.

Mmeibania Singida bure, singida angepita, am sure wangechukua kombe

Congratulations Mla-ndege for the good work , umetupunguzia kelele hapa mjini. Yule Chinga angefumua sana domo lake.

Ahh kumbe familia [emoji13]
 
Simba inahitaji reform kubwa sana kuanzia uongozi hadi wachezaji wao. Wakiendelea kuchukulia poa na kuendelea kucheza wanavyocheza msimu huu kwenye NBC premiere league hawapati hata nafasi ya tau.
 
Kwa kaliba ya uchezaji wa Baleke na Onana, hata angekuja Guardiola hakuna kitu angefanya.
Ni muhimu SSC watafute namba 10 mzuri kama watamuacha Chama. Otherwise sioni kiungo mchezeshaji pale

Kocha hana shida

Je shida ipo wapi
 
Nataka kusema kitu hapa. Toka afariki Hanspope maendeleo ya simba yamekuwa mabaya, Kwanini? Alikuwa anajitoa na hana njaa ya pesa. Alikuwa anaongoza kamati ya usajili na matekeo yake yalionekana. Alikuwa hana njaa ya pesa. Mjaa zetu za pesa zinafanya tufanye usajili mbovu. 10% zinatembea. Viongozi wengi wanakimbilia matumbo hawajali maendeleo ya timu. Hicho ndicho kikubwa.
 
Simba inahitaji reform kubwa sana kuanzia uongozi hadi wachezaji wao. Wakiendelea kuchukulia poa na kuendelea kucheza wanavyocheza msimu huu kwenye NBC premiere league hawapati hata nafasi ya tau.

Kwenye uongozi hawataki wazungumze

Mkizungumza sana kuhusu uongozi watatoa kafara soon kocha

Aah kumbe Familia
 
Babacar Sarr simuelewi na nadhani hii Simba ina kitu cha hovyo kwa viongozi si bure.
Kama mwalimu ndio kataka mchezaji kama yule,na tukadanganywa kwa kuletewa eti kapigwa picha anamkaba Ronaldo!!!Basi kweli sisi ni mbumbumbu.
Na bora hatujatwaa kombe maana zingekuja sifa za kijinga sana kwa akina onana na huyo jamaa.
 
Lundo kubwa la wachezaji ambao hawana faida na uwezo kiuchezaji.

Kwanini uongozi na kamati ya usajili hudhani ni tatizo?

Nipo zangu Ivory Cost

Aah Kumbe Familia
 

Wachezaji wa benchika bado hawajawa sourced

Hawa wanaoingia sasa wote ni wa mangungu na try again na mo

Aah kumbe familia
 
Kufungwa mechi moja tu mmekuja na nyuzi zaidi ya 100!.


Benchika akifikisha mwezi wa 4 nimekaa pale!
Alianzisha Uzi ni aliefungwa 3-1 na APR. Anahangaika kuchochea migogoro huku timu yake ili
furushwa robo fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…