Mtihani kweli kweli, dah SIMBA SC

Mtihani kweli kweli, dah SIMBA SC

Nyie mbumbumbu hebu punguzeni utitiri wa nyuzi kila mnapofungwa.

Yaani nyie mkifungwa tu ndio timu inakua na mapungufu. Mkiwa mnajiandaa na mechi mnasifia kikosi chenu, mkipigwa timu mbovu.

Jifunzeni kuwakemea wachezaji hata wakishinda, miquison alifunga kagoli basi misifa ikaanza kummiminikia, mkifungwa hata mchezaji ajitoe vipi hakuoni mchangi wake.
 
Phiri, Baleke, Ntibazonkiza, Babacar, Ngoma, Chama, na Miquison hawa wote hawana viwango vya kuitumikia simba. Hawana tena soka la ushindani.
 
Nyie mbumbumbu hebu punguzeni utitiri wa nyuzi kila mnapofungwa.

Yaani nyie mkifungwa tu ndio timu inakua na mapungufu. Mkiwa mnajiandaa na mechi mnasifia kikosi chenu, mkipigwa timu mbovu.

Jifunzeni kuwakea wachezaji hata wakishinda, miquison alifunga kagoli basi misifa ikaanza kummiminikia, mkifungwa hata mchezaji ajitoe vipi hakuoni mchangi wake.

Aaah kumbe familia
 
Phiri, Baleke, Ntibazonkiza, Babacar, Ngoma, Chama, na Miquison hawa wote hawana viwango vya kuitumikia simba. Hawana tena soka la ushindani.

Sarr mmemsaji juzi tu Familia

Mkivunja mkataba now mna hela za kumlipa ?
 
Babacar Sarr simuelewi na nadhani hii Simba ina kitu cha hovyo kwa viongozi si bure.
Kama mwalimu ndio kataka mchezaji kama yule,na tukadanganywa kwa kuletewa eti kapigwa picha anamkaba Ronaldo!!!Basi kweli sisi ni mbumbumbu.
Na bora hatujatwaa kombe maana zingekuja sifa za kijinga sana kwa akina onana na huyo jamaa.
DM wa Aina Ile sijawahi kumuona labda mseme ni B2B.
 
Kikosi cha Yanga ni Team C

Nyie full mkebe

Acha ukiazi use your mind well

Angekuwq pacome
Aziz k
Diarra
Musondq
Etc etc kuna angepita mtu?

Tumia tu akili kidogo
Kikosi cha Yanga ni Team C

Nyie full mkebe

Acha ukiazi use your mind well

Angekuwq pacome
Aziz k
Diarra
Musondq
Etc etc kuna angepita mtu?

Tumia tu akili kidogo
Hawa ni kuwaacha tu ndugu waendelee kujifariji. Watu ambao huwa hawapendi ukweli waache tu, muda utasema.
 
20240102_155713.jpg
 
Ukweli ni kuwa simba haina quality players.
Simba haina fomesheni, haichezi kitimu, wanaruka ruka tu, kila mchezaji anacheza kivyake!
Saidoo na Kibu tu ndo wachezaji nao hawana muunganiko na wenzao! Harakati kibao matokeo sifuri, siku marefa wakiacha kuibeba rangi yake halisi ya uwezo wa chini kama Lipuli itaonekana!
Marefa ndio mchawi wa Simba, wanaibeba sana siku mechi ikichezeshwa kihalali Simba huwa haipati goli hata moja, refer mechi ya ligi dhidi ya Singida jamaa walinyimwa goli halali, KMC vs Simba, refa aliwapa Simba penati batili, mapinduzi cup refa aliwapa Simba kona batili. Hii ni mifano michache tu!
Simba Ile ya makombe haipo tena imebaki historia tu!
 
Tumemfukuza pira objective tumeleta pira objective mwingine afundishe wazee
 
Nimesikia msemaji wa Simba akisema kuwa Sarr ni chaguo la kocha mwenyewe.
 
Nimesikia msemaji wa Simba akisema kuwa Sarr ni chaguo la kocha mwenyewe.

Sio chaguo la kocha

Ni chaguo la magungu wasimzushie kocha

Halaf huyu Ahmed ali anaongea sana utasema kama jinga fulan hivi, anaongea kama vile ni ndugu wa watu wa pop Fransis. Huwa anamaneno mengi sana

Anaongea sana Hadi huwa ana haribu, anaandika magazeti kudanganya mashabiki

Shida hawa watu sio creative Kazi ya usemaji wala haihitaji porojo zao, wao kazi yao ni ku communicate official things basi, ila kazi wanayofanya wao pamoja na kale kambaumbau ketu yule kijana mzee ni uhamasishaji, na sio usemaji wa klabu
Kutembea na mavuvuzela ni kusumbua watu mtaani na kupigia watu kelele, mwenyewe anaona ni creativity [emoji2099]

shida wanatembea kwa style aliyofanya manara but ukiangalia msemaji wa klabu kubwa hakuna anaefanya hu ujinga wao
 
Hii ni kumbukumbu, itaishi.

Nadhani Simba SC guvu moja mmeshaona mnakikosi cha aina gani.

mmefika kwenye penalt box za mlandege 45 times ndani ya kumi na nane and still hamna mlichozaa dah , SSC !!

hii ni ishara kuwa hamna safu ya ushambuliaji na hamna striker machachari.

Kumbukeni pia SSC ipo loaded, wachezaji wake wote , ni mtihani mkubwa !

Je ni nini tatizo la SSC?

Mo Dewji na uwekezaji wake ni tatizo ?

Viongozi wa timu ni tatizo ?

Wachezaji ni tatizo ?

Kamati ya Usajili ni tatizo !?

Kama kuna mshabiki mwenzangu wa SSC , aliyemuelewa huyu Sarr aniambie !

Sajili za kufanya promo kwenye social media bila uwezo binafsi,, mmmh Sinba SC ,!!!!

Narudia Tena SSC mmejaza wazee kwenye uongozi mnatakiwa kuwa na young and fresh blood kwenye CEOs na nafasi nyingine.
Sarr mmepigwa, na mtaendelea kupigwa

Nadhan wachezaji wa SSC wanahitaji pschychological treatment ili kudevelop courage na morally ya players kama Dar Young African players.

Mmeibania Singida bure, singida angepita, am sure wangechukua kombe

Congratulations Mla-ndege for the good work , umetupunguzia kelele hapa mjini. Yule Chinga angefumua sana domo lake.

Ahh kumbe familia [emoji13]
Hongera robo fainali fc angalao mmekuwa na kuwa nusu fainali fc🤪.
 
Kipi kikufanye uone kuwa sio chaguo la kocha sababu ya kiwango duni au ni kipi? Au una uthibitisho kuwa kocha hakumuhitaji?
Kuna maelezo yalitolewa kuwa kocha hatoingiliwa majukumu yake akimtaka mtu ataletewa, na kama hamtaki mtu ataachwa. Kocha kapewa mamlaka kamili
 
Hii ni kumbukumbu, itaishi.

Nadhani Simba SC guvu moja mmeshaona mnakikosi cha aina gani.

mmefika kwenye penalt box za mlandege 45 times ndani ya kumi na nane and still hamna mlichozaa dah , SSC !!

hii ni ishara kuwa hamna safu ya ushambuliaji na hamna striker machachari.

Kumbukeni pia SSC ipo loaded, wachezaji wake wote , ni mtihani mkubwa !

Je ni nini tatizo la SSC?

Mo Dewji na uwekezaji wake ni tatizo ?

Viongozi wa timu ni tatizo ?

Wachezaji ni tatizo ?

Kamati ya Usajili ni tatizo !?

Kama kuna mshabiki mwenzangu wa SSC , aliyemuelewa huyu Sarr aniambie !

Sajili za kufanya promo kwenye social media bila uwezo binafsi,, mmmh Sinba SC ,!!!!

Narudia Tena SSC mmejaza wazee kwenye uongozi mnatakiwa kuwa na young and fresh blood kwenye CEOs na nafasi nyingine.
Sarr mmepigwa, na mtaendelea kupigwa

Nadhan wachezaji wa SSC wanahitaji pschychological treatment ili kudevelop courage na morally ya players kama Dar Young African players.

Mmeibania Singida bure, singida angepita, am sure wangechukua kombe

Congratulations Mla-ndege for the good work , umetupunguzia kelele hapa mjini. Yule Chinga angefumua sana domo lake.

Ahh kumbe familia [emoji13]
Mwaka jana kumbukumbu muhimu ilikuwa Simba 1 Yanga 5. Bila shaka mwaka huu unaanza na kumbukumbu ya kona dhidi ya Singida, penalty ya Kagere na Simba kubadili jina la MlaNDEGE kuwa MlaSIMBA
 
Back
Top Bottom