Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nyie mbumbumbu hebu punguzeni utitiri wa nyuzi kila mnapofungwa.
Yaani nyie mkifungwa tu ndio timu inakua na mapungufu. Mkiwa mnajiandaa na mechi mnasifia kikosi chenu, mkipigwa timu mbovu.
Jifunzeni kuwakemea wachezaji hata wakishinda, miquison alifunga kagoli basi misifa ikaanza kummiminikia, mkifungwa hata mchezaji ajitoe vipi hakuoni mchangi wake.