Mtihani Mkubwa Kwa Yanga SC Ni Kuandaa Timu Ya Kutwaa Taji la Klabu Bingwa Afrika

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Huu mtihani unachukuliwa poa sana.

Nadhani hata viongozi wanaona ni mwepesi kwakuwa mtani wao aliweza kufanya vyema kwenye medani hizo huku akiwa Bingwa wa Ligi akiwa na perfomance mbaya kuzidi yao ya msimu huu.

Natambua malengo ni kushiriki fainali ya Klabu bingwa tofauti na ya wenzenu ambao wanalenga kufika robo fainali tu.

Je, mtaruhusu rekodi hii ya unbeaten kwenye Ligi itumike kama kipimo chenu.

Hapana kwakeli. Hivi sasa tujiandae sawa sawa na Malengo yetu.

Tamaduni ya Hii Klabu ni “MATAJI TU” na sio kingine.
 
Mkuu Ushavimba Kichwa kiasi hicho?

Huko umeenda mbali...!

Yanga tunayoijua mtihani wake iwe Japo kuvuka mechi za Awali na ukipandisha kiwango iwe ni kuingia Makundi..!
 
We endelea kupiga ramli hata msimu huu mlitutabiria tunajenga timu, timu haina uzoefu na NBC hatutoweza kuchukua ligi.

Tukaenda round ya kwanza kuisha, ohoo Simba round ya pili ndio wanakuwa wazuri, Yanga baskeli ya miti, mkasahau misimu iliyopita mda kama huu mnaviporo saba mkononi mmefunikiwa na TFF so msimu huu viporo havikuwepo.

Hayo ya mbele muyaache kwani kila mlicho itabiria Yanga hakijatokea.

Cha msingi na nyinyi jengeni timu huku mkimpa muda kocha wenu, Don Pablo bin Madrid kutoka Spain, huku mkiwapa muda Mugalu, Kagere, Bwalya nk waizoee ligi pamoja na wenzao.

Simba Guvu Moja.

NB:Halafu huu mwandiko sio wa shabiki wa Yanga. (.......ulivyo anza kulutumia neno....JE MTARUHUSU.......KAMA KIPIMO CHENU.....ndipo ulipo haribu).
 
Kikosi kisukwe mapema na mazoezi waanze mwezi July ili September kiwe kimeanza kuchanganya
 
Mashabiki wa utopolo mnadeni la Mayele . Mlimuahidi kumzalia mtoto . Je , hiyo ahadi mshatimiza ndipo mfikirie ubingwa wa klabu bingwa Afrika?

Au mnafikiri hilo kombe linachukuliwa tu na vipofu kama nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…