Sawa, je una maoni mengine mazuri zaidi ya haya?
Mie nimekuuliza swali. "Wewe ni mke wa CHADEMA hadi ujue siri za ndani za mumeo?"Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na kinahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Tutamchangia Lissu.Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya uraisi. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya Chadema. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari,kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili Chadema.
ha ha ha ha !!! mtachanga za tigo rusha ? Ndio utegemee kuendeshea kampeni ya uraisi? uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Mbona wewe mwanamke unahangaika hivo? Sasa si mshukuru mmepata hohehahe ambaye atawapunguzia kazi na kupunguza gharama za kampeni? Msifanye hata mikutano ya kampeni kwasababu mshindani hawezi kwenda kokote.Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya uraisi. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya Chadema. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari,kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili Chadema.
Na Yule anaemuozesha mama kwa mahari ya jogoo anapata wapi mkopo nafuu?Lissu ni rafiki wa Rais wa LGBT, CHADEMA rahisi kupata mkopo kwa mashariti nafuu!