Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

We nenda bhana, usituchoshe akili
 
kwakua adi umeziona izo chance,bas na ww ni muhusika.Hivyo mm nafikiri ww nenda tu,yatakayo kukuta itakua fundisho kwako.....maana siku hizi mapenzi ya jinsia moja ndio yametawala...na movie zake ndio zinauzwa sana....U better take care...!!
 
Mbona mnakomalia sana kwenye ushoga? Mkuu wale wanaofanya hayo ni kwa hiyari yao na sii kwa kulazimishwa.
 
Mungu hachelewagi wala hawai ila daima huwa yuko ndani yamuda muafaka, siku moja kwake ni sawa na miaka elfu, kadhalika miaka elfu kwake ni sawa na siku moja.
Kweli kabisa
 
Umemiss vitu vya msingi kwenye story yako kuifanya iwe realistic...
 
Umemiss vitu vya msingi kwenye story yako kuifanya iwe realistic...
Story siyo realistic lakini tukio ni real.Hata hivyo wewe kuwa na uhakika juu ya hili jambo kama ni kweli au la! halitabadili kitu.
 
Ukishaona MTU amemaliza six anabeba zege? Halafu lama in taratibu zote hadi embassy unataka ushauri gani nenda kashike ukuta
 
Muda mwafaka wa sisi kukushauri ulikuwa ni kabla hujaamua kujaza fomu za kuomba hiyo kazi yako. Kwa kuwa hukuhitaji ushauri wakati ule, naamini huhitaji ushauri hata sasa. Fanya tu uamuzi wewe mwenyewe.
Ata sasa hivi nafasi ya kushahuriwa ipo Mkuu, bado sijafanya final decision.
 
Mdogo wangu, maana ya uanaume, siyo lining'iniza dushe hapo mbele, wala si suala la kuvaa suruali. Uanaume ni zaidi ya tunauchukulia tulio wengi. Mwanaume wa kweli ni yule anayeweza kukabiliana na changamoto zote za maisha wakati huohuo akitunza sifa iliyo njema ktk jamii. Kutafuta mteremko ktk kukabiliana na changamoto za maisha huo ni "uanauke". Si wote tunaomiliki majumba na magari tumetoka familia zilizo njema. Wengine tumepitia misukosuko ambayo haielezeki. Nacho kushauri, usikubali kuingia ktk michezo itakayo haribu reputation yako kisa ugumu wa maisha. Komaa na zege wakati huo ukipunguza anasa ili hatimae upate msingi japo wa genge la nyanya. Mtangulize Mungu ktk kila jambo ufanyalo, nakuhakikishia hatokuacha kamwe.
 
rudi kijijin kwenu ww, daah pesa kwel mwanaharam, the things people are willing to do for money
 
Story siyo realistic lakini tukio ni real.Hata hivyo wewe kuwa na uhakika juu ya hili jambo kama ni kweli au la! halitabadili kitu.
Ok Mr.Realistic...
Ndugu wana jf salamu!
Bila shaka mmekuwa na wiki njema, na mnaendelea vizuri na weekend.

Ndugu zangu mimi maisha yameniwia kama juisi ya pili pili kwa mtoto mchanga, ni machungu sana
Hayana furaha, amani, pesa, mapenzi, faraja, na hata nikitumia jicho la mbuni kuitzama, sioni faraja siku za mbeleni.

hisia zangu zikipanda naishia kunyetoka bila kikomo, kuacha puchu nimeshindwa kabisa, nitaachaje wakati sina bae,

Puchu imeniletea madhara kibao, yaani miguu, magoti yana waka moto sababu ya kunyetoka, imeniadict vibaya sana.Kila mara naajiapia kuwa ni mara ya mwisho, lakini kiapo nitakikumbuka baada ya kupuchuka.

Ndugu zangu kila nikiyaangalia haya maisha yangu toka utotoni, ni maisha yasiyo na furaha, amani ya akili, matumaini, pesa, mapenzi na bila faraja.Yaani nimepoteza hata ile hali ya kujiamini kabisa.
now this seems more realistic to me...Kama ni kweli basi maamuzi ya busara yako juu yako.lakini kama ni porojo za kutafuta faraja kwasababu ya kukosa kitu cha maana cha kufanya,kuna hatari ya mambo kukuendea segemnege..
 
Mkuu ebu weka maelezo juu ya nia yako ya kupost hizi sharia.
 
Upo tayari nikuunganishe jkt... Ukasubirie ajira huko?
Kijana bado una nguvu tumia nguvu yako kwa taifa lako.
 
Ok Mr.Realistic...

now this seems more realistic to me...Kama ni kweli basi maamuzi ya busara yako juu yako.lakini kama ni porojo za kutafuta faraja kwasababu ya kukosa kitu cha maana cha kufanya,kuna hatari ya mambo kukuendea segemnege..
Mkuu haya maisha yangu yaache tu Man, Ninavyosema mambo ni magumu kwangu hakika sitanii.
 
hatari sana kama inawezekana achana na hayo makitu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…