Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Hii thread ni ya uongo...

I bet the guy has just learned alot about that sily career n understood its rules and lot of its stuffs...nothing more

He never apllied neither had an interview on that career....!!!

S'one ll catch up my words.
Mkuu nina dhambi nyingi sana lkn za uzinzi.Sijazoea kutenda uongo.
Sasa nidanganye ili iweje? kudanganyana wakati hatufahamiani huo ni uzandaki.Hapa nilihitaji mawazo ya wana MMU na nimeyapata....wewe mwenye ushahidi wa kutokuapply kwangu na kutokuwa na interview, nakwambia pole na hongera sana.
 
Hata "Rambo" alishawahi kuekti muvi za kikubwa
 
Umefanya uamuzi mgumu sana na wa hatari, kwenda kutenda dhambi ya uzinzi officially, lakini hata hivyo ni bora ukafanya hiyo dhambi na kulipwa hapa duniani, na kuburudisha viungo vya mwili, na baadae kutupwa jehanamu, kuliko kufanya zinaa vichochoroni kwa kificho bila malipo na baadae ukatupwa jehanamu ile ile.
 
Inna lil lahi waina ilaihi rajiuun! Hv kuna watu mko serious na maisha kweli? Hata aliekuumba humuogopi? Nenda ila siku ukiletewa Mama ako mzazi umle tigo usishtuke maana mkataba huenda ukakubana!
Hahahahaaaa....unafahamu aliko Mama yangu mzazi?
Vitu vinge bora ukae kimya mkuu siyo lazima kukoment.
 
Hahahahaaaa....unafahamu aliko Mama yangu mzazi?
Vitu vinge bora ukae kimya mkuu siyo lazima kukoment.
Anyway, sorry kwa kumuweka mzazi hapo, nimeteleza ila lengo halikuwa baya ila nilitaka uhisi ubaya wa hilo jambo unalotaka kuliendea! Sijui kwa kweli ila dah, watu mna vitu vya ajabu sana!
 
Nahisi we ni mwanaume na hio ndio kazi yako kufirwa juha ww hico kiuno chako baada ya miaka Kumi utakua huesi hats kukaa
 
Kama unaona hiyo ni kazi kafanye lkn ukumbuke dini zote zinakataza upuuzi huo
 
Ndugu yangu nenda ukiwa plan B ya kwamba unaenda na ukifika huko utakuwa mgeni mf. Utakuwa kama MTU uliyetekwa ,mateka, na wenyewe ndio watakaokuongoza kama wenyeji wako kwa hiyo lazima ufate masherti yao jinsi watakavyotaka hukatai na ugeni ukigeuka huku na huku sura nyeupe tupu lazima utoe kiboga kaka usikubali kwenda vumilia na taabu mungu atakuona.
 
Hakuna eneo la experience na km lipo ulijaza nini ama ukienda unaanza kapata orientation?

Subri wazazi wako na Ndg zako walioshindwa kukusapoti hata kimawazo na kukupa mbinu za ujasiriamali watakapokuona mitandaoni tuone wakifurahia ujuzi na mafanikio yako
 
Ww wasema,utahadithiaje kuwa nyama ya nungunungu ni tamu wakati ww siyo mlaji wa nungunungu. Ndg yangu una maamuzi magumu, ukitaka kujua unako kwenda uliza wanaotoka, usiulize, waonao enda, maana wote unakuta ni wageni na mgeni ni kama mtoto, utasemaje wanalipa pesa nzuri wakati hujawahi fanya nao kazi tulia, uliza wadada walio kimbia hata kwenda kufanya kazi za house girls huko Oman na sehemu zingine wanavyo teseka walikatazwa wakajiona kujua Leo wanajuta, majuto huja baadaye, ndo maana majuto ni mjukuu, wa Zungu ni wajanja na wengi wao wanamikataba fake. Tangu zamani tunasoma,hata hivyo, sasa hivi picha za porno za jinsia mbili tofauti, zimejaa soko la dunia, sasa video ambazo ni burning ni za homosexuality, kwa hiyo, yawezekana ww umejaza ya kawaida ndiyo, ukisha panda chopper tu, wanageuza mkataba, na kwa taarifa yako, majumba mnayo pelekwa ni ya mafichoni na hauruhusiwi kutoka maana watu watakuona na kukutoka nyuma, hivyo unafichwa na haitakiwi kuonekana, ndg yangu, na mtu uliye saini mkataba ww huna maamuzi maana ww Uko chini ya power ya mwenye mkataba, ng'ombe wangu huwezi kunipangia pa kumchinjia nawe ni ng'ombe wao hutawapangia, chochote watakacho sema utatii maana wao wanaweza wakakuchoma sindano alafu wakala ukoko wakamaliza wakakuzindua na siku zote ukiliwa ukokoni kwa lazima, siku ya pili unatamani uliwe bila hata kulazimishwa mkuu haya mambo ni magumu mno kuna watu wa mekwambia uende, achana nao naomba utumie mda huu kuhubiri hata neno la mungu, pesa unazitafuta kilaana kilaaana, hivi zikusaidie nini, mbona watu ambao ni nursery ni matajiri hapa bongo ww form six imeshindwa kutambua fursa zilizopo unakimbia kwnda Wapi?.... , mm kwa ushauri wangu elimu uliyo nayo ni Kubwa na itakusaidia. Sasa fungua kituo cha chekechea na kuna walimu mtaani wenye certificates za chekechea, organise nao ufanye kazi utatoka baada ya miaka mitano utakuwa unamiliki shule, una usafiri, una kula vizuri, unamke, una watoto, na unasaidia watu, hayo ndo maendeleo yako niliyo yaona mbeleni lakini kwenye porn video siyaoni maisha yako imeniuma sana tena sana mm ni aka kinyayo
 
Mkuu movies yako[emoji39] [emoji39] [emoji39] naipataje direct
 
Daaah umenena vema sana.
 
Ukweli ni kwamba hakuna kazi isio na changamoto na lakini ukweli utabaki pale pale ww bado kijana mdogo hujachelewa bado kutafuta maisha kwa njia ya sahii. Faham yakwamba biashara yyte alio ilani mwenyezimungu huwezi kufanikiwa kamwe sawa utaenda huko kufanya hio kazi but I'm sure huwezi kufanikiwa kimaisha utakuwa unapata Hela ya kula nakulipia pengo ya nyumba lakini sio Hela ya kutoka kimaisha Hilo sio kweli.
 
Vipi uliamua kwenda au ulikuwa mzinguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…