Ww wasema,utahadithiaje kuwa nyama ya nungunungu ni tamu wakati ww siyo mlaji wa nungunungu. Ndg yangu una maamuzi magumu, ukitaka kujua unako kwenda uliza wanaotoka, usiulize, waonao enda, maana wote unakuta ni wageni na mgeni ni kama mtoto, utasemaje wanalipa pesa nzuri wakati hujawahi fanya nao kazi tulia, uliza wadada walio kimbia hata kwenda kufanya kazi za house girls huko Oman na sehemu zingine wanavyo teseka walikatazwa wakajiona kujua Leo wanajuta, majuto huja baadaye, ndo maana majuto ni mjukuu, wa Zungu ni wajanja na wengi wao wanamikataba fake. Tangu zamani tunasoma,hata hivyo, sasa hivi picha za porno za jinsia mbili tofauti, zimejaa soko la dunia, sasa video ambazo ni burning ni za homosexuality, kwa hiyo, yawezekana ww umejaza ya kawaida ndiyo, ukisha panda chopper tu, wanageuza mkataba, na kwa taarifa yako, majumba mnayo pelekwa ni ya mafichoni na hauruhusiwi kutoka maana watu watakuona na kukutoka nyuma, hivyo unafichwa na haitakiwi kuonekana, ndg yangu, na mtu uliye saini mkataba ww huna maamuzi maana ww Uko chini ya power ya mwenye mkataba, ng'ombe wangu huwezi kunipangia pa kumchinjia nawe ni ng'ombe wao hutawapangia, chochote watakacho sema utatii maana wao wanaweza wakakuchoma sindano alafu wakala ukoko wakamaliza wakakuzindua na siku zote ukiliwa ukokoni kwa lazima, siku ya pili unatamani uliwe bila hata kulazimishwa mkuu haya mambo ni magumu mno kuna watu wa mekwambia uende, achana nao naomba utumie mda huu kuhubiri hata neno la mungu, pesa unazitafuta kilaana kilaaana, hivi zikusaidie nini, mbona watu ambao ni nursery ni matajiri hapa bongo ww form six imeshindwa kutambua fursa zilizopo unakimbia kwnda Wapi?.... , mm kwa ushauri wangu elimu uliyo nayo ni Kubwa na itakusaidia. Sasa fungua kituo cha chekechea na kuna walimu mtaani wenye certificates za chekechea, organise nao ufanye kazi utatoka baada ya miaka mitano utakuwa unamiliki shule, una usafiri, una kula vizuri, unamke, una watoto, na unasaidia watu, hayo ndo maendeleo yako niliyo yaona mbeleni lakini kwenye porn video siyaoni maisha yako imeniuma sana tena sana mm ni aka kinyayo