MI nadhani mhusika ulileta Mada kutujulisha na sio kuomba ushauri mana ushauri wote unaopewa ukiwa kinyume na ww unaupinga. Na unatoa maelezo ya kujihakikishia kabixa kile Umeamua kipo sawa Sasa sijui Kwann unajifanya kutaka ushauri wakati unauhakika 'na lile unaenda kufanya. Sijui bado una uvulana mwingi coz like seriously unaongea kwa confidence Mara ooh kampuni nzuri hawana mambo hayo? Hiyo confidence unaitoa wapi? Unaenda nchi za watu je una hela yako ya kukutosha incase of anything utaamua kujirudisha? Kama maisha yamekushinda hapa nauhakika kabixa huna hata cent kila kitu unaenda kwa kutegemea mwajiri, kwahyo mwajiri anahaki ya kukufanya lolote alitakalo mana we kapuku tu huna lolote na hutakuwa na la kumfanya maana huna kitu na upo nchini kwake. We jiaminishe sana wakati Hao ni binadamu tu kubadilika ni muda wwte. Ungekuwa na hela yako hapo sawa hata wakienda kinyume na unavyotaka unauhakika wa kujirudisha otherwise uwe tayari kwa lolote maadam ndio njia ya mafanikio uliyoichagua