Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Support ya wapi? mnataka mkaniuzishe sura kwenye vigazeti vyenu uchwara? Hamtakaa mpate picha wala kideo changu hata siku moja barbeck!
Tukikuuzisha sura si ndo tuna kupa kiki uzidi kuwa maarufu. Au kazi yako huipendi
 
Mtu asiyejua kuitumia Tanzania yetu kutoka kimaisha namuonea huruma sana,maana hawazi kwa mapana
 
Tupe ushaid wa hiyo deal yako hatutataki mboyoyoyo nying na story za kusubiria ugali
Elewa ni uongo...wacha kufukuzia issue za watu....Kama unaona ushahidi ni muhimu tengeneza deal zako alafu utuletee ushahidi.
 
MI nadhani mhusika ulileta Mada kutujulisha na sio kuomba ushauri mana ushauri wote unaopewa ukiwa kinyume na ww unaupinga. Na unatoa maelezo ya kujihakikishia kabixa kile Umeamua kipo sawa Sasa sijui Kwann unajifanya kutaka ushauri wakati unauhakika 'na lile unaenda kufanya. Sijui bado una uvulana mwingi coz like seriously unaongea kwa confidence Mara ooh kampuni nzuri hawana mambo hayo? Hiyo confidence unaitoa wapi? Unaenda nchi za watu je una hela yako ya kukutosha incase of anything utaamua kujirudisha? Kama maisha yamekushinda hapa nauhakika kabixa huna hata cent kila kitu unaenda kwa kutegemea mwajiri, kwahyo mwajiri anahaki ya kukufanya lolote alitakalo mana we kapuku tu huna lolote na hutakuwa na la kumfanya maana huna kitu na upo nchini kwake. We jiaminishe sana wakati Hao ni binadamu tu kubadilika ni muda wwte. Ungekuwa na hela yako hapo sawa hata wakienda kinyume na unavyotaka unauhakika wa kujirudisha otherwise uwe tayari kwa lolote maadam ndio njia ya mafanikio uliyoichagua
 
Acha usengelema mjomba tafuta kazi ambayo itakupa hela mungu ni mwema one day utafunguliwa na istoshe umemaliza fomsix ss why huna akili ya kujiongeza
Achana na porno mjomba af mtt mdg ww yaan daaah
Acha kabsa tafuta kaz nyingine na zpo nyingi tuu
 
Back
Top Bottom