hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 831
- 335
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko onlineAtakuwa aliombwa tigo huyo muomba ushauri sasa analiwa kiulaini na kina ndingo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuwa makin wacje wakala mtandao pendwa
nilidakwa airport wakasema nisiende kuabisha nchi wakanipeleka veta sasa nakipiga kwenye huu mradi mkubwa huku porini.Ulifikia wapi mkuu?
kuzuri na sisi tuje?
yaani ndio unaleta mrejesho leo ndugu yangu tokea 2016, na mrejesho wenrewe ni negative.nilidakwa airport wakasema nisiende kuabisha nchi wakanipeleka veta sasa nakipiga kwenye huu mradi mkubwa huku porini.
Nenda kaombeweWasalam wana wa jukwaa.
Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.
Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.
Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.
Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.
Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.
Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
UPDATES:
Wakuu wa MMU nawashukuru sana kwa michango yenu ya kimawazo.Nimefarijika sana kupokea maoni na mitazamo ya wengi juu ya njia niliyoichagua.Kila mmoja wenu alichangia kwa mitazamo tofauti tofauti.Binafsi nimefanya maamuzi ya kwenda kuipiga hii kazi, najua ina changamoto nyingi lakini ikumbukwe kuwa kila kazi ina ugumu wake.Tumeshakamilisha taratibu zote na natarajia kuondoka mwishoni mwa juma.Bado nitakuwa sehemu ya Jamiiforum, nitawasiliana na nyi.Nawashukuru sana! pia asanteni nyote.
Lazima mandingo yake iwe above 6" kabla haijasimama [emoji16][emoji16][emoji16]cc,mandingo
Walijuaje hapo airport kua unaenda kufanya hayo?nilidakwa airport wakasema nisiende kuabisha nchi wakanipeleka veta sasa nakipiga kwenye huu mradi mkubwa huku porini.