StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Ukiwaajiri kwa wingi utajipunguzia idadi ya chawa kwa sababu hawatakubali kula punje wakati wana uhakika wa unga(ugali).
Na ukisema uwaajiri wachache kundi linalobaki linaunda NETO,UYAM n.k ili kukukabili. Mbaya zaidi makundi haya yanaibukia 2025 wakati unahitaji kura zao!.
It is examination in deed(Mtihani kwelikweli)