StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Who cares?Ukiwaajiri kwa wingi utajipunguzia idadi ya chawa kwa sababu hawatakubali kula punje wakati wana uhakika wa unga(ugali).
Na ukisema uwaajiri wachache kundi linalobaki linaunda NETO,UYAM n.k ili kukukabili. Mbaya zaidi makundi haya yanaibukia 2025 wakati unahitaji kura zao!.
It is examination in deed(Mtihani kwelikweli)
Umeomba nini Mkuu Sala au Kazi?Nimeomba sana hadi nimechoka
Who?Who cares?
Do you know them well?
Anaosema Wana mtihani...Who?
Samia ana kazi kubwa kipindi hichiUkiwaajiri kwa wingi utajipunguzia idadi ya chawa kwa sababu hawatakubali kula punje wakati wana uhakika wa unga(ugali).
Na ukisema uwaajiri wachache kundi linalobaki linaunda NETO,UYAM n.k ili kukukabili. Mbaya zaidi makundi haya yanaibukia 2025 wakati unahitaji kura zao!.
It is examination in deed(Mtihani kwelikweli)
SanaSamia ana kazi kubwa kipindi hichi
SalaUmeomba nini Mkuu Sala au Kazi?