The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
kaka mie niko masters Open University so the issue I raised here I have made a minor research and siamin kama wat zaid ya laki mbili wapate ziro. Basi huenda ile chanjo waliopigwa ya kupunguza uwezo wa kufikir inaeanya kaz.
kuwa masters sio issue toa pesa mitihani isahihishwe upya huwezi lazimisha nyeupe kuwa nyeusi na nyeusi kuwa nyeupe baada ya kusahihisha huwa kuna wahakiki ina maana hilo halikufanyika.