The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
kaka mie niko masters Open University so the issue I raised here I have made a minor research and siamin kama wat zaid ya laki mbili wapate ziro. Basi huenda ile chanjo waliopigwa ya kupunguza uwezo wa kufikir inaeanya kaz.
Ally Kombo umejuaje kuwa mimi kiranja mkuu wa makafiri and I am proud of it?Kafiri ni kafiri tu !
Nasikia kuna baadhi ya shule,wamiliki wake walikua wamezoea aidha kununua mitihani ama kuwahonga wasimamizi ili walimu ama watu waliondaliwa waingie ktk vyumba vya mtihani kuwaonyesha watahiniwa majibu!Kama kuvuja kwa mitihani kumezibwa, unategemea nini !? .........kipindi chote cha Mkapa na cha kwanza cha Kikwete, deal zilikuwa ni wizi wa mitihani !
Kuna Mkurugenzi wa Baraza alifukuzwa na Mkapa kwa 'manufaa ya umma' kwa ushiriki wake kwa hilo.
Ndalichako akaingia akajikuta hali ni hiyo hiyo, kumbe ni kada ya kati ya uongozi ndo inavujisha. Ni wazi safarii hii wamefanikiwa. Sasa picha halisi imejitokeza !
Kwanini huamini kama mitahini yenyewe ya darasa la saba wanafeli mpaka wabebwe na form 2 hivyo hivyo, je ukisahihishwa upya matusi au mashairi ya mapenzi na wasiojibu kitu yakutakuwa majibu sahihi?
Achana na makafiri tunaonewa sana waislamuKafiri ni kafiri tu !
Tatizo umekurupuka ndio maana umeshindwa elewa nilikuwa najadili nini futilia vizuri na hoja inasemaje sijamtetea kawambwa, wanao laani matokeo haya hawafuatilia system ya elimu hasa huko chini wanaangalia effect tu labda na wao walipita shule kama wewe ila wangekuwa wamesoma wangejua chanzo ni nini cha matokea haya mabaya na sio kulaani tuTafadhali sana kama umepitia shule basi changia pointi ya maana, watanzania wote wamelaani matokeo haya wewe bado unataka kumtetea kawambwa
kaka si unasoma masters? basi choreni akina mesi na miti kwenye pepa zenu afu tujenge hoja kuwa haiwezekani watu wote wa masters kufelikaka mie niko masters Open University so the issue I raised here I have made a minor research and siamin kama wat zaid ya laki mbili wapate ziro. Basi huenda ile chanjo waliopigwa ya kupunguza uwezo wa kufikir inaeanya kaz.
nani kakwambia wameandika bongo fleva. Ujue mi nilikuwa mwalimu shule ya sekondari shume najua uwezo wa wanafunzi. Jaman kufeli wanafunz msishangilie. Nakumbuka shule nzima tuliluwa walimu wawili. Unatarajia nin. Elimu ya siasa ndo matnkeo yake.kaka si unasoma masters? basi choreni akina mesi na miti kwenye pepa zenu afu tujenge hoja kuwa haiwezekani watu wote wa masters kufeli
Siamin kama 60% ya wanafunz ni bomu. Pia shule za serikali ndo zimeharibu balaa. Iundwe tume irudie kusahihisha mitihani mana nchi hi imekuwa ya kukomoana.
Tena sio hao tu hadi waliopata division four nao ni bomu. Wanafunzi hawasomi kazi yao kubwa kwenda disco,facebook,bbm kusoma magazeti ya udaku na kusikiliza radio mbao
sasa mpaka wanaandika bongo fleva ni kwamba hawana cha kuandika, sababu ni nyingi, hiyo ya uchache wa walimu nayo sio hasa sababu kubwa. sababu ninayoijua mimi ni hizi. Mgomo baridi wa walimu...kwani kuna shule hapa tanga zina walimu wa kutosha hata darasa moja wanakuwa walimu wawili lakini kuna zero zaid ya 200 ,na four chache,so huwezi sema ni uchache wa walim kwani hata mashule yenye walimu bado wamefeli vizuri tu. serikali ilipe walimu vzr ione kama kutakuwa na mass failure kama hii. hata ng'ombe anatoa maziwa mengi akilishwa pumba za kutosha...hakuna mwalimu ambaye yupo tayari kutumia nguvu na akili kwa vijihela vya bamia. walimu wanafundisha kwa kadri wanavyolipwa....ni kama PAYE kwa tranani kakwambia wameandika bongo fleva. Ujue mi nilikuwa mwalimu shule ya sekondari shume najua uwezo wa wanafunzi. Jaman kufeli wanafunz msishangilie. Nakumbuka shule nzima tuliluwa walimu wawili. Unatarajia nin. Elimu ya siasa ndo matnkeo yake.
hapo ni wewe ndo unamsemea....kwa iyo unataka kuniambia wote waliofeli walikua wanakesha facebook na kwenye madisco?
Siamin kama 60% ya wanafunz ni bomu. Pia shule za serikali ndo zimeharibu balaa. Iundwe tume irudie kusahihisha mitihani mana nchi hi imekuwa ya kukomoana.
standardization sio lazima ipandishe marks, inaweza shusha pia.hapa ni baada ya standardozation