Mtihani wa form six unafanyiwa standardization

Mtihani wa form six unafanyiwa standardization

EJay

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
693
Reaction score
172
Nimesoma gazeti la RAIAMWEMA la leo jumatano habari iliyoandikwa "kuelekea matokeo kidato cha sita sifuri kibao zafutwa kimyakimya"

1.sababu za kuchelewa ni pamoja kuogopa kufutwa kwa matokeo ikiwa tume kama ya form four itaundwa.
2.vyuo vikuu kukosa wanafunzi
3.wanapanga upya madaraja kutokana na kufeli wengi tofauti na mwaka jana.
4.kelele za wanasiasa pia.

wadogo zangu msiwe na hofu mambo yatakuwa mazuri ila serikali dhaifu ya CCM lazima tuing'oe mwaka 2015 kwa sababu yote haya wanasababisha wao,Mungu awaongoze.
 
Haya mabalaa sijui yataisha lini?Ndo maana wamechelewa sana,inawezekana ndo yaleyale,csee 2012.
 
Nimesoma gazeti la RAIAMWEMA la leo jumatano habari iliyoandikwa "kuelekea matokeo kidato cha sita sifuri kibao zafutwa kimyakimya"

1.sababu za kuchelewa ni pamoja kuogopa kufutwa kwa matokeo ikiwa tume kama ya form four itaundwa.
2.vyuo vikuu kukosa wanafunzi
3.wanapanga upya madaraja kutokana na kufeli wengi tofauti na mwaka jana.
4.kelele za wanasiasa pia.

wadogo zangu msiwe na hofu mambo yatakuwa mazuri ila serikali dhaifu ya CCM lazima tuing'oe mwaka 2015 kwa sababu yote haya wanasababisha wao,Mungu awaongoze.

Pumbavu....................
 
hayo tena.....?
Basi hakuna haja ya kukusanya walimu pande zote kukalishwa zaidi ya mwezi kusahihisha mitihani.
Ipelekwe tu bungeni badala ya kutukanana wawe bize kusahihisha pepa.
 
Hivi na chuoni matokeo yakiwa mabaya yaani wakigraduate wachache kuliko walioingia napo watastandardize? Waacheni wafurahi kwa marks za kupewa watalia kupata kazi
 
Pumbavu....................

nini chanzo cha kuporomoka kwa elimu nchini usifikiri kwa kutumia masaburi:iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid: aibu yako
 
Taifa linaumwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
yaone mafisadi haya hatahayaoni aibu. hii ni serikali? au sirikali?
 
Nimesoma gazeti la RAIAMWEMA la leo jumatano habari iliyoandikwa "kuelekea matokeo kidato cha sita sifuri kibao zafutwa kimyakimya"

1.sababu za kuchelewa ni pamoja kuogopa kufutwa kwa matokeo ikiwa tume kama ya form four itaundwa.
2.vyuo vikuu kukosa wanafunzi
3.wanapanga upya madaraja kutokana na kufeli wengi tofauti na mwaka jana.
4.kelele za wanasiasa pia.

wadogo zangu msiwe na hofu mambo yatakuwa mazuri ila serikali dhaifu ya CCM lazima tuing'oe mwaka 2015 kwa sababu yote haya wanasababisha wao,Mungu awaongoze.

unataka kufanya mabadiliko? Elimisha watu kwanza waondokane na ujinga,then mabadiliko yatajileta, otherwise, binadamu ni wasahaulifu, kitu kimoja chaweza kumsahaulisha shda alizozipata, i.e kanga na kofia za yanga
 
Hujui ulikotoka,ulipo,na uendako hivyo wewe ni kama kpofu,kiziwi,kilema,bubu hata kunusa huwez polesana na uprimitive wako wa ccm
 
Jamaniii akili ya kuambiwa ongeza ya kwko😱 achakuwapa madogo hofu. Ckila habari ina habari ndani yake! Acha kuhusianisha matukio 😱
 
nimesoma gazeti la raiamwema
la leo jumatano habari iliyoandikwa "kuelekea matokeo kidato cha sita
sifuri kibao zafutwa kimyakimya"

1.sababu za kuchelewa ni pamoja kuogopa kufutwa kwa matokeo ikiwa tume
kama ya form four itaundwa.
2.vyuo vikuu kukosa wanafunzi
3.wanapanga upya madaraja kutokana na kufeli wengi tofauti na mwaka
jana.
4.kelele za wanasiasa pia.

Wadogo zangu msiwe na hofu mambo yatakuwa mazuri ila serikali dhaifu ya
ccm lazima tuing'oe mwaka 2015 kwa sababu yote haya wanasababisha
wao,mungu awaongoze.

big up sana mkubwa!!
 
Back
Top Bottom