Nimesoma gazeti la RAIAMWEMA la leo jumatano habari iliyoandikwa "kuelekea matokeo kidato cha sita sifuri kibao zafutwa kimyakimya"
1.sababu za kuchelewa ni pamoja kuogopa kufutwa kwa matokeo ikiwa tume kama ya form four itaundwa.
2.vyuo vikuu kukosa wanafunzi
3.wanapanga upya madaraja kutokana na kufeli wengi tofauti na mwaka jana.
4.kelele za wanasiasa pia.
wadogo zangu msiwe na hofu mambo yatakuwa mazuri ila serikali dhaifu ya CCM lazima tuing'oe mwaka 2015 kwa sababu yote haya wanasababisha wao,Mungu awaongoze.