Mtihani wa kesho huu hapa!!

nasikia kichefu chefu...!


cha msingi waungwana sisi kama wasemaji tuliyowazi kwaajili ya manufaa ya nchi ningependa labda tungependekeza nini kifanyike kuliko kuangusha lawama na kuwataka watu wajiuzulu. Maoni tuu
 
Hamna.
Kama wewe ni student, kasome na utumie yale uliyofundishwa kujibu mtihani.
Nini kusubiri mitihani ya wizi?

Hahahahah Mchukia Fisadi, Masatu ni mtu mzima sana kama ni mtihani wa Form four labda alifanya miaka zaidi ya thelathini ilopita ....labda anatafutia watoto wake kwi kwi kwi kwi!!
 
Hahahahah Mchukia Fisadi, Masatu ni mtu mzima sana kama ni mtihani wa Form four labda alifanya miaka zaidi ya thelathini ilopita ....labda anatafutia watoto wake kwi kwi kwi kwi!!

Wewe unanifahamu kuliko ninavyo jifahamu keep on guessing....
 
Nimeisoma thread hii imenikumbusha mbali kweli. Kuvuja huku kwa mitihani sio leo wala jana, ni long time tu. Imenikumbusha jinsi pepa zilivyokuwa zinakuja camp yetu kushushwa. Kuna wale waliokuwa waandaaji wa mapicnic, mabitozi, masista du, wao class hazipandi kabisaa wanasubiri mpaka time time, wanatafuta pepa then wanatuletea kuzishusha. I can say 90% of the time zilikuwa za kweli, walikokuwa wanazipata sijui na tulikuwa na "Dont ask dont tell" policy. Hatuulizi zimetoka wapi na wao hawasemi, lakini ndio hivyo tena pepa zinashushwa, na wengi wao walikuwa ni watoto wa vigogo.
Hadi siku moja mdingi akanitilia shaka, akaniuliza mbona kipindi cha mitihani kunakuwa na mishemishe nyingi? Mbona trafic inakuwa kubwa hapa? As you already know, niliruka futi saba wa sabini nikakanusha. So my point ni kuwa uzembe upo, umasikini upo, uvivu upo na vyote hivi vinachangia pepa kuwepo mtaani kabla ya wakati wake.
 

This is a serious offense, kama ni kweli itabidi huo unga upeperuke na wala sio kumwagika. Tanzania inaelekea wapi kwa mwendo huu?? au ndio mwanzo wa kufuta mitihani ya Taifa kabisa, then what next?
Hapa Baraza la mitihani lina kazi ya ziada kurudisha Imani kwa watz na sijui matokeo ya form iv mwaka huu tutayaaminije? nani kafaulu kihalali nani kaona mtihani, how are we going to separate the two? Yangu macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…