&Na wewe unatetea uozo!ama kweli i doubt kama wote tulio humu ni great thinkers, average ya 30 kwanza ni ndogo sana bora ipande iwe 40 kwanini ulazimishe kitu wakati kiko nje ya uwezo wako?kama shule imemshinda labda kuna kitu kingine anaweza kufanya kuliko kumpotezea muda wake shuleni,hata wastani ungeshushwa hadi 10% bado wangefeli na wangedai wastani bado mkubwa ni bora kuwa na wanafunzi 100 wenye akili kuliko kuwa na matutusa/vilaza/viazi/maboga 100000 yaliyovaa uniform ambavyo waziri anajivunia kuwa ni wanafunzi,inaboa sana mi nasema kila siku "MTU HAJAWAHI KUWA HATA MONITOR AKIWA PRIMARY SCHOOL KWA WATOTO WENZIE LEO ATAWEZA KUWA WAZIRI WA NCHI YENYE MAMILIONI YA WATU?" leadership is a talent na si wote tunaweza kuwa leaders ila kwa kuwa viongozi wachache ni wabishi na ili hali ethics za uongozi hawana wao wanakomaa hivyohivyo pia ukiuliza,eti namfahamu muache na yeye akae hapo ale kidogo,tubadilike taifa letu linapotea