Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima kuna kasoro kubwa kwa hili.elimu yetu imeingiliwa na mashetani, lakini jambo la msingi sisi kama wadau wa elimu inatakiwa tuhakikishe ile sera ya elimu iliyolipa baraza la mitihani hapa Tz kusismamia mitihani ya mnne ambayo ni drs la 7, 4m 4, 4m 6 pamoja na vyuo vya ualimu inabadilishwa kwanza kwani NECTA haijapewa nguvu kisheria kusimamia mtihani wa 4m 2 na drs la 4 ndio maana wanasiasa wetu wanaaojua kutetea majimbo yao walishinikiza uondolewe.
Hivyo wote kwa pamoja tushirikiane kuiandika serikali vibaya kuhusu elimu labada sikio la kufa linaweza kusikia dawa.
elimu yetu imeingiliwa na mashetani, lakini jambo la msingi sisi kama wadau wa elimu inatakiwa tuhakikishe ile sera ya elimu iliyolipa baraza la mitihani hapa Tz kusismamia mitihani ya mnne ambayo ni drs la 7, 4m 4, 4m 6 pamoja na vyuo vya ualimu inabadilishwa kwanza kwani NECTA haijapewa nguvu kisheria kusimamia mtihani wa 4m 2 na drs la 4 ndio maana wanasiasa wetu wanaaojua kutetea majimbo yao walishinikiza uondolewe.
Hivyo wote kwa pamoja tushirikiane kuiandika serikali vibaya kuhusu elimu labada sikio la kufa linaweza kusikia dawa.