Mtihani wa kidato cha pili 2012

Mr Anold

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
218
Reaction score
47
Mtihani wa kidato cha pili, umemalizika kwa shule zilizo nyingi Tanzania. Mengi yamegundulika wakati wote wa mtihani lakini kubwa zaidi ni pale wanafunzi walipoonekana wameuchapa usingizi kwenye chumba cha mtihani na kudai kwamba kutakuwa na msamaha wa raisi.Lingine ni mitihani inasafirishwa kwa bodaboda bila ulinzi wowote ule
 
Kwa Tanzania lolote laweza kutokea wala sishangai sana.
 
kuna hatari ya kushusha wa wastani wa ufaulu kimya kimya ili kuepuka aibu ya kufelisha kwa 90%.
 
kuna hatari ya kushusha wastani wa ufaulu kimya kimya ili kuepuka aibu ya kufelisha kwa 90%.
 
hawa ndo vijana wanaoandaliwa kuwa wajenga nchi,kazi ipo huko tuendako!
 
Hivi kwa sasa kiwango cha kufaulu kwa kidato cha pili ni ngapi
 
I think our Govnt is the one to blame sababu msng wa elimu ni duni tokea elimu ya awali wanafunzi kukaa chini,vitabu vichache, walimu unqualified(div4) yet wanaingia wanavyotaka yaani hamna atmosphere ya kum encourage student kusoma na viongozi wana receve paycheck ndefu kwa kunena pumba. Tanzania kuendelea its like a million years to come
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…