Mr Anold
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 218
- 47
Mtihani wa kidato cha pili, umemalizika kwa shule zilizo nyingi Tanzania. Mengi yamegundulika wakati wote wa mtihani lakini kubwa zaidi ni pale wanafunzi walipoonekana wameuchapa usingizi kwenye chumba cha mtihani na kudai kwamba kutakuwa na msamaha wa raisi.Lingine ni mitihani inasafirishwa kwa bodaboda bila ulinzi wowote ule