Mtihani wa kidato cha sita 2013 kufanyika "may"

Mtihani wa kidato cha sita 2013 kufanyika "may"

Mr Anold

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
218
Reaction score
47
Habari za asubuhi wana Jf, nimeulizwa swali mara tatu sasa na wanafunzi na wazazi wao wakitaka kujua kama ni kweli kwamba mtihani wa kidato cha sita 2013 utafanyika mwezi may(5) kama ilivyokuwa miaka ya 2004 na kabla. Jibu ni kwamba "SIJUI" JE WADAU KUNA TETESI KAMA HIZO? Naomba mwenye majibu yaliyothibitishwa atujuze.
 
Kuna tetesi kwamba watajiunga na JKT kwa kipindi cha miezi mitatu baada ya kumaliza kidato cha sita.
 
Nashauri hata Wassira arudishwe Jkt ili apate uzalendo wa nchi yake
 
last weekend nilimkuta naibu waziri mr Philip Mulugo kwenye duka moja la madawa pale sinza vatcan nikamuuliza kuhusu hilo jambo,alinipasha kwa mwakani hana uhakika.pia alilalama ya kwamba dr kawamba(undergraduate frm udsm) ndiye aliyeshikilia bango hiyo hoja bila kutazama ni vipi wanafunzi na vyuo vitasalimika
 
hapa sijakuelewa mdau,,,,,,why he call him self Dr?????
 
Mi nadhani huu utaratibu mpya wataanza nao form six wa 2014.
 
Back
Top Bottom