Mr Anold
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 218
- 47
Habari za asubuhi wana Jf, nimeulizwa swali mara tatu sasa na wanafunzi na wazazi wao wakitaka kujua kama ni kweli kwamba mtihani wa kidato cha sita 2013 utafanyika mwezi may(5) kama ilivyokuwa miaka ya 2004 na kabla. Jibu ni kwamba "SIJUI" JE WADAU KUNA TETESI KAMA HIZO? Naomba mwenye majibu yaliyothibitishwa atujuze.