Mtihani wa kidato cha sita

Mtihani wa kidato cha sita

Yusuphsabury

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
307
Reaction score
114
Wana jamvi naomba kujuzwa,hivi inawezekana kufanya mtihani wa kidato cha sita bila kuwa na credit(c) tatu za o'level?kwani nimeona orodha ya majina TCU ya watu waliokosa udahili wa chuo kikuu kwa kukosa credit3 za form4 lakini wana principle mbili za form six,hii imekaaje bandugu!
 
Wapo walio resit lakini walikosea ku add sitting ambayo walirudia mtihani.
 
Back
Top Bottom