Mtihani wa kiingereza kwenye mchakato wa kupata ufashili wa masomo

Mtihani wa kiingereza kwenye mchakato wa kupata ufashili wa masomo

Mpatuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,261
Reaction score
3,580
Habari za muda huu wajumbe katika jukwaa letu pendwa natumaini mu wazima wa afya, bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada.

Naomba kuulizia ule mtihani wa kiingereza unaofanyika kukupima kama unaimudu lugha hiyo kwaajili ya kupata ufadhiri wa masomo kwa hatua ya postgraduate studies unafanyika wapi? Asanteni naimani wazoefu wa mambo haya watanisaidia ufafanuzi.
 
Hii inatakiwa huko unakoenda mana ni pruv kuwa unaweza kutumia kingereza kama lugha ya mawasiliano bila shida yoyote. Humo lazima ufaulu kuongea,kuandika,kusikiliza na kusoma
Gharama za kufanya huo mtihani ni kiasi gani?
 
Huu mtihani unakulaga kakozi kama miez 2 hiv nahis ni laki 6 Kwa sasa
Ni wao wenyewe wanawajibika na kukupatia course hiyo kwa maandalizi ya mtihani au inabidi utafute center binafsi?
 
Back
Top Bottom