google TOEFL Exam centers Tanzania!Huu unaufanya wapi
Aende British wanaotaka hiyo. Pia PEC nayo. Lakin Kwa bongo common ni IELTSgoogle TOEFL Exam centers Tanzania!
Kwa bongo au kwa mahitaji ya nchi anayoenda kusoma?Aende British wanaotaka hiyo. Pia PEC nayo. Lakin Kwa bongo common ni IELTS
Hii inatakiwa huko unakoenda mana ni pruv kuwa unaweza kutumia kingereza kama lugha ya mawasiliano bila shida yoyote. Humo lazima ufaulu kuongea,kuandika,kusikiliza na kusoma
Nchi kama uingereza ni IELTS kwa US ni TOEFLHii inatakiwa huko unakoenda mana ni pruv kuwa unaweza kutumia kingereza kama lugha ya mawasiliano bila shida yoyote. Humo lazima ufaulu kuongea,kuandika,kusikiliza na kusoma
Huu mtihani unakulaga kakozi kama miez 2 hiv nahis ni laki 6 Kwa sasaGharama za kufanya huo mtihani ni kiasi gani?