Mtihani wa kutafsiri fumbo la picha kwa wana JamiForums

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
597
Reaction score
1,240
Swali (marks 1 kwa Kila jibu)
Picha hii ina vipande 6 .Kila kipande kina picha yenye fumbo.Jaribu kutafsiri moja baada nyingine.

Vidokezo
Maneno na maumivu
Kuchapakazi na Udhaifu
Maneno na vitendo
Hatua ya kwanza
Elimu na fursa
Kuridhika na wengine
.
 
PICHA YA KWANZA
Kuwa makini na kile unachokisema maana kinaweza kuwaumiza wengine bila kutarajia

PICHA YA PILI
Usikate tamaa kwa sababu kuna watu ambao hawana hata kidogo ulichonacho ila wanapamba

PICHA YA TATU
Haijalishi ni namna gani unakatishwa tamaa,songa mbele kuelekea kwenye mafanikio yako

PICHA YA NNE
Siku zote mwanzo ni mgumu,jitahidi kuushinda woga na kuanza safari ya ndoto zako

PICHA YA TANO
Bado nafikiriašŸ˜€

PICHA YA SITA
Siku zote hakuna binadam anaeridhika na alichonacho.Mwenye hiki anaona kingine ni bora zaidi

Cha muhimu ni kuridhika na na ulichonacho maana huwezi shindana/kumiliki kila kitu
 
Shukrani kwa maelezo yako. Nimefurahi kupata jibu hilo.
 
Ila picha namba tano ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…