1. Kama hela haioti kwenye miti kwa nini Bank zina matawi?
2. Kwa nini gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusiendeshe gari wakati tumekunywa(kulewa) kwa nini bar kuna parking?
4. Kama neno 'Abbreviation' linamaanisha ufupisho kwa nini lenyewe ni refu hivyo?
Muda ni dakika 10 tu...........
Kudua na Kugosha chedi nini?
Hilo nalo neno mkuu.kama hatutakiwi kuti.an.a kabla ya ndoa kwa nini tunabalehe mapema!??
kama hatutakiwi kuti.an.a kabla ya ndoa kwa nini tunabalehe mapema!??