Mtihani wa maarifa ya dunia:

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Instructions: - Muda: 10 Seconds.

Majibu mpe mwenzako.



1. Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi?



2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?



3. Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwanini bar kuna parking?



4. Kama neno ‘abbreviation’ linamaanisha ufupisho, kwanini lenyewe ni refu hivyo?



5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa tu, kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?



BEST WISHERS
 
Tunatakiwa tusi-drive tukilewa ili tusimwage kinywaji katika mitingishiko ya uendeshaji.
 
Basi kama chai ni mchanganyiko wa maji ya moto, sukari na majani, kwa nini wa2 2siokoe muda kwa kunywa maji ya moto kivyake, kumumunya sukari kivyake na kulamba majani vyote hivyo vikachanganyikie 2mboni na lengo le2 la kunywa chai liwe limetimia.
 
1)branches are not necessarly for trees ony
2)this is due to adhehesion and cohesion forces( surface tensions)
3)not every body is assumed to be drunk and drive at the bar
4)u can abreviate it to just make sure it will be defined somewher like abrvt
5) i am not sure if you can be given a lisence while you dont know to drive
 
basi kama chai ni mchanganyiko wa maji ya moto, sukari na majani, kwa nini wa2 2siokoe muda kwa kunywa maji ya moto kivyake, kumumunya sukari kivyake na kulamba majani vyote hivyo vikachanganyikie 2mboni na lengo le2 la kunywa chai liwe limetimia.
hii inafanana na yule masai aliyesahau kutingisha chupa ya dawa kabla ya kumnywesha mtoto
 
5) i am not sure if you can be given a lisence while you dont know to drive[/QUOTE]


it's true!
 
5) i am not sure if you can be given a lisence while you dont know to drive


it's true![/QUOTE]

Na kwa kuwa hauwezi kupewa lisence bila ya kufanyiwa majaribio kama kweli unajua kuendesha,mafunzo na majaribio kabla ya ndoa ruksa.
 
Basi kama chai ni mchanganyiko wa maji ya moto, sukari na majani, kwa nini wa2 2siokoe muda kwa kunywa maji ya moto kivyake, kumumunya sukari kivyake na kulamba majani vyote hivyo vikachanganyikie 2mboni na lengo le2 la kunywa chai liwe limetimia.

Mr Bean keshajaribu, muulize))
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…