Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Instructions: - Muda: 10 Seconds.
Majibu mpe mwenzako.
1. Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi?
2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwanini bar kuna parking?
4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwanini lenyewe ni refu hivyo?
5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa tu, kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?
BEST WISHERS