Mtihani wa mock kufanyika Februari mwakani?

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
wakuu nasikia hizi tetesi kua form 5&6 tutafanya mitihani ya mock na necta mwezi wa 2 kutokana na mambo mbalimbali serikalini mfano uchaguzi! na je kama tutafanya mwez wa 2 mtihani utatoka katika format ya Kawaida? maana mitihani ya mock na necta si inafanywa mwezi wa 5.
 
Ngoja waje senior great thinkers wakupe jibu lako maana unauliza mpaka format ya pepa as if hapa NECTA. Soma dogo ili wakati pepa inakuja uwe tayar!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Ni kweli kwa sababu baraza la mitihani limetangaza njia mpya ya kusahisha mitihani imetangazwa na katibu mkuu wa baraza la mitihani kwa mitihani ya 4m6 na 4 so njia hiyo itanza kujaribiwa kwa mitihani ya wizara ambayo form 4 wa nafanya dis tym na frm 6 n mwakan mwez huo
 
mkuu kwa hiyo ina maana sisi tutakuwa form 6 mwez wa 3? :behindsofa:
 
Mock mwezi wa 2 na Necta wa 5 kama kawaida. Hakuna kinachobadilika.
 
sidhani labda kwa mkoa wa arusha na mingne lakin kwa mkoa wa Kilimanjaro ni mwez wa 11 na ratiba imeshatoka
 
Mock mwezi wa 2 na Necta wa 5 kama kawaida. Hakuna kinachobadilika.

Mm mwenyewe nimesoma hiyo mikoa yote miwili na kati ya mikoa yenye msimamo na na mtihani wa mock basi ni kilimanjaro na arusha wote hao huwanapiga mwezi wa 11 wao huwa haijarsh ratba imebadilika vipi na cc ratiba ilitoka mwezi wa 7 so jipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…