Mr George Francis
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 278
- 512
Mlio wengi, mmeshindwa kuona the positive side ya uzi huu...Kumanina shule zisifungwagwe tu utoto umezid sasa
Hujaelewa content au tuseme hujasoma kabisa ila Uzi huu umebeba ujumbe sana.Kumanina shule zisifungwagwe tu utoto umezid sasa
Watu wamesoma tu title hawajasoma content ila Uzi umebeba ujumbeMlio wengi, mmeshindwa kuona the positive side ya uzi huu...
Uzi umebeba ujumbe mzuri tu kwa namna ambayo wengi hawajizowea au hawajaielewa. Jifanye tu mjinga, jibu swali namba 6.
Mlio wengi, mmeshindwa kuona the positive side ya uzi huu...
Uzi umebeba ujumbe mzuri tu kwa namna ambayo wengi hawajizowea au hawajaielewa. Jifanye tu mjinga, jibu swali namba 6.
[Nakazia.]
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Cc: Mahondaw
[Siyo ubishi tu, na uzembe wa kutokuchanganua mambo ni asili yao.]
Tena ujumbe mzito sana..!!Watu wamesoma tu title hawajasoma content ila Uzi umebeba ujumbe