kukurupuka tu sijui kama hata una fahamu nini kilikua kikijadiliwa hapaACHA UONGO MKUU HUU SIYO USAILI HUU ULIKUWA MTIHANI WA ZAMANI WALA SIYO WA SASAHIVI HUU NILISHAGAUONA KAMA MWAKA AU MIWILI IMEPITA SIYO WA SASA UMEWALISHA WATU MATANGO POLI
Unamaanisha kwamba INTERN wao hawafanyagi interview wanapachikwa tuuu, eti eeeee, labda mama yako awe Samiah Suluhu.Usijisumbue kuomba hizo kazi kama wewe SIYO INTERN WA TRA , wala hujawahi fanya intern, hawawezi chukua mtu wa nje wakati wapo internal-staff mwenye uzoefu ambaye alikuwa anajitolea tu, ni ushauri tu, si lazma uffuate.
vijana fikirini kujiajiri na kuondoa viongozi ambao hawapangi namna ya kuongeza ajira ila wanapanga namna ya kujiongezea kinga , yaani UZUZU.
Wanatuma wapi?Na wa Airport (TAA) Security Officer nao ulivuja aisee, ila sasa hiv wanatuma maswali tu, hawatumi mtihani hardcopy kama ulivyo
Madhara ya elimu bureKutoka kwa mdau,
Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.
Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.
Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja
Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nimetumia zaidi ya 200,000 kutoka Kigoma na kulala lodge.
Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar
View attachment 1885554
Hii nchi haipo fair kabisa ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?
Pia, soma=> Usaili wa Tax Officers waahirishwa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Bongo NYOSO
TAA security wanatoaga maswali gani?!Na wa Airport (TAA) Security Officer nao ulivuja aisee, ila sasa hiv wanatuma maswali tu, hawatumi mtihani hardcopy kama ulivyo