Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Usiende kaka.
kila mtu alizaliwa siku yake ataishi kwenye njia zake

lakini swali langu la kuvuja kwa mtihani kunaplkea vp ww kufeli. kwenye interview yangu alietuongoza kwenye written alifeli vbaya kwenye oral tena vibaya haswa.
kwanza kwenye oral lazima taasisi husika inayotaka mtumishi iwepo kwenye panel, ww bebwa kwenye written ila kama hunauwezo utanasa tu
We nae kilaza sasa hujui kama wengi wakifaulu hata pass mark itaongezeka maana watu ni wengi sasa huoni itamcost mtu ambaye hakupata paper tumia akili
 
MSHAWAHARIBIA WENZENU



MAMBO YANARUDIWA NA UNAPOTEZA 200 TENA



ILA UMBEA UMEZIDI SANA NA HUENDA DEMU LASABABISHA POSSIBLE NIMEISIKIA HADI KULE KWA KULA TUNDA KIMASIHARA DA
 
,
JamiiForums-240938180.jpg
 
Kutoka kwa mdau,

Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.

Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.

Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja

Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nimetumia zaidi ya 200,000 kutoka Kigoma na kulala lodge.

Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar

View attachment 1885554

Hii nchi haipo fair kabisa ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?

Pia, soma=> Usaili wa Tax Officers waahirishwa
Umeshindwa kutunza siri hiyo je wateja wako ukipata ajira itakuwaje
 
Back
Top Bottom