huyu samiah nae alisema atatoa professional works zaid ya 40,000. Ni kwanini wasimwage hizo kazi za TRA bila interview? mbona watu 9,000 ni wachache sana kwenye nafasi za tax na customs?
Afu mbona walimu na madaktari wao humwagiwa kazi bila interview. Utaskia walim 10,000 wameajiriwa na madokta zaidi ya 5,000 wamemwagiwa kazi bila interview yoyote.
Mi nashauri serikali iwe inamwaga kazi za TRA bila interview, maana kisheria na sheria za nchi hazielekezi interview bali graduate yeyote aliehitimu kwenye chuo kinachotambulika kwa serikali anahaki ya kupata kazi na ni wajibu kupata kazi. Sasa mainterview ya nini?