Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Kutoka kwa mdau,

Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.

Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.

Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja

Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nimetumia zaidi ya 200,000 kutoka Kigoma na kulala lodge.

Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar

View attachment 1885554

Hii nchi haipo fair kabisa ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?

Pia, soma=> Usaili wa Tax Officers waahirishwa
Pole sana mkuu. Ila usilate tamaa.
 
Yani unataka akapambane na watu wenye nondo? Kama wameweza kupata hizo paper before amini kwamba wanaconnection kubwa pale utumishi. Mtaitwa mpaka oral but hutapata kazi hata ungepata above 90.
Ndo maana post zinakuwa re-advertised maana wale waliolusudiwa kupewa michongo wanafeli.

Pia siyo kila mtu anaishi Dodoma, watu wanatokea mikoani, hivyo wanatumia pesa kwaajili ya nauli, malazi na vyakula kwenda kupambana na watoto wa vigogo, acha mchezo man.

Mimi siwez huo upuuzi maana sina hela za kupoteza.
Usiende kaka.
kila mtu alizaliwa siku yake ataishi kwenye njia zake

lakini swali langu la kuvuja kwa mtihani kunaplkea vp ww kufeli. kwenye interview yangu alietuongoza kwenye written alifeli vbaya kwenye oral tena vibaya haswa.
kwanza kwenye oral lazima taasisi husika inayotaka mtumishi iwepo kwenye panel, ww bebwa kwenye written ila kama hunauwezo utanasa tu
Wewe uliona wapi mtu aliyewaongezea kwenye written kuwa kafeli usaili wa oral?
hivi ulichokiuliza umekisoma mara 2 ?
unaweza ukawa umetoboa huko written unaingia oral mara ung'ate kucha mara it is like that oooh sorry can i repeat unahisi utatoboa? kibaya hawajumlishi marks za written na oral.
 
Usiende kaka.
kila mtu alizaliwa siku yake ataishi kwenye njia zake

lakini swali langu la kuvuja kwa mtihani kunaplkea vp ww kufeli. kwenye interview yangu alietuongoza kwenye written alifeli vbaya kwenye oral tena vibaya haswa.
kwanza kwenye oral lazima taasisi husika inayotaka mtumishi iwepo kwenye panel, ww bebwa kwenye written ila kama hunauwezo utanasa tu

hivi ulichokiuliza umekisoma mara 2 ?
unaweza ukawa umetoboa huko written unaingia oral mara ung'ate kucha mara it is like that oooh sorry can i repeat unahisi utatoboa? kibaya hawajumlishi marks za written na oral.
Sawa mtalaamu, ila swali langu lilikuwa wewe ulijuaje miongoni mwa mliopangiwa vituo vya kazi yule aliyepata alama kubwa alifeli usaili wa mahojiano na hakupangiwa kituo cha kazi hadi hii leo.
 
Sawa mtalaamu, ila swali langu lilikuwa wewe ulijuaje miongoni mwa mliopangiwa vituo vya kazi yule aliyepata alama kubwa alifeli usaili wa mahojiano na hakupangiwa kituo cha kazi hadi hii leo.
Wapi nimesema hajapangiwa kituo cha kazi mpaka leo hii? ila hakuwemo kwenye ile list ya kwanza alikuja kupata baadae akitokea kwenye database.
 
Sie bwana chumba chetu tulihesabu namba tupo 150 ila karatasi zilivokuna kukisanywa zikahesabiwa zipo 152 mbili zimezidi sikuelewa

Unakumbuka zile hesabu za kwenda na moja kichwani au hesabu za kukopa?ndio ilitumika hapo mkuu.
 
Mwanangu acha tu Kwel nimeamini ng'ombe wa maskini hazai *****
Kuwa na imani kijana nao utumishi wanajielewa hawawezi acha hili lipite hivi hivi, maana ujumbe linatuma ujumbe mbaya mno kwa jamii, kwamba wao hawaajili wanawapa watu hasara na kuwasumbua , je si wajua wako chini ya Wizara gani na ipo hina ya nani, nahis watafanya kitu bora
 
Umejitahidi ila usitake aminisha wengine kuwa hayo ndo majibu pekee kwa maswali yote, utapata kiasi,
Pia kwa waliodaka pepa ni rahisi wajua nahisi watacopy na kupaste na wanaweza jibu maswali sawa na kuepuka maswali sawa, Ni vyema utumishi wakabalance mzani
O
1.A -corruption
-conspirancy
-trespassing/leaving without following procedures
-Smuggling
-aiding/abetting

B-description of goods either merchandise, livestock, wares, articles or currency
-Quantity
-Quality
-Package

4. A- The VAT Act 1997
-The EFD Act 2010
-The EACCM Act 2004
-The EACCM Act Amendment 2011
-The Excise management and Tarrif Act

B-transaction value of imported goods
-transaction value of identical goods
-transaction value of similar goods
-deductive method
-computed method
-fall back method

5.- Quantitative research
-Qualitative research
-Descriptive research
-Comperative research
-Experimental research

View attachment 1885693
We Kuna majibu umepatia Kuna lingene umetuingiza Chaka mfano ilo principles of Customs valuation wewe umetuandikia Customs valuation methods ,,,Sasa toka lini Principles na Methods Ni sawa? Rudi darasani kasome Vizuri Customs valuation afu ulete majibu hapa,
 
Hizi ni zama za connection mzee wng demu mwenye tako kubwa na drs la 7 lake analinga kuliko mwenye mtu mwenye Masters yake mjini
Yani hii dunia skuizi inaenda kasi sana, eti mwanamke akishakuwa mweupe ana matako makubwa tiyari kesha yapatia maisha.

Cha kushangaza anaonekana wa maana kuliko mwenye PhD, ila mwisho wao huwa ni mbaya na matako yao makubwa.
 
Kwenye hali kama hii kwenye jamii ikitokea uwe tajiri utakuwa very powerful na utachukiwa na wengi.
 
Back
Top Bottom