Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aisee ndo basi tena wanyonge hawana Lao mpk hapo.
Unajua shida kubwa ni kwamba private sectors ime athirika sana. Watoa ajira nyingi huwa ni hawa private sectors. Kuyumbishwa kwao kwa sababu kadhaa wa kadhaa kuna fanya wengi wategemee ajira kutoka serikalini, ambazo kiukweli huwaga si nyingi sana. Serikali wao ndio suluhisho la mwisho na sasa wana katisha vijana tamaa. Wenzetu wanao jua utumishi bora baada ya hii kuanzia mkurugenzi wa taasisi hii ungesha ona ame jiuzuru pamoja na waziri husika.
 
Duh Xavier amekaza fuvu mpk Sasa, yaani Kama vile hajaona kikichotokea,bongo ukiwa kiongozi inatakiwa usiwe na mshipa wa aibu tu.Yanatokea madudu unakaza tu kama vile hakuna kikichotokea.

Uwajibikaji Ni zero.
 
Yawezekana ana njia nzuri ya kulitatua. Tusikose imani nae. Vijana wawe watulivu.
Labda mkuu,Ila kwa Sasa nitapumua kuombwa pesa ya kwenda Dom maana Madogo wenyewe wanaona aibu hata kuongelea mambo yaliyotokea huko.
 
Update
Nimeangalia majina ya Customs Officer II nimekuta jina hili 'JOHN PALAMAGAMBA KABUDI' Bila shaka ni Mtoto wa Waziri wa Katiba na Sheria.

Wanyonge kazi ipo.
Atakuwa ametokea chuo cha jalalani
 
Unajua shida kubwa ni kwamba private sectors ime athirika sana. Watoa ajira nyingi huwa ni hawa private sectors. Kuyumbishwa kwao kwa sababu kadhaa wa kadhaa kuna fanya wengi wategemee ajira kutoka serikalini, ambazo kiukweli huwaga si nyingi sana. Serikali wao ndio suluhisho la mwisho na sasa wana katisha vijana tamaa. Wenzetu wanao jua utumishi bora baada ya hii kuanzia mkurugenzi wa taasisi hii ungesha ona ame jiuzuru pamoja na waziri husika.
D2znidn
 
Back
Top Bottom