Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 130
Dokta alichora mlango ukutani halafu akawaruhusu vichaa watoke, wote wakakimbia kuelekea huo mlango isipokuwa kichaa mmoja. Dokta akadhani jamaa kapona akamuuliza, wenzako wanagombea kutoka we hutaki kwenda? Kichaa akajibu ufunguo ninao mimi.
Kama kweli alikuwa na akili ya kukaa na ufunguo basi huyu alishapona.
Funguo ya mlango wa kuchora?