Mbu HONGERA saana kua na
mpenzi ambae hukununulia zawadi... Wengine hilo limewashinda kabisa tokana na selfishness.. Or ile tu kutotambua kua kila mmoja uhitaji zawadi once in a while....
B2T IMHO Naomba niseme kua uelewa wangu ni siri ya nyuma ya zawadi ulotumiwa ndo hufanya iwe nzuri ama mbaya (hasa kama kweli
mwapendana kweli - achana na haya Mapenzi ya kuhongana!); Kumnunulia Mpenzi wako zawadi muafaka ya kumfurahisha utegemea saana na jinsi gani mwaishi, nini yeye apenda, kitu gani katamani recently labda ikawa nje ya uwezo wenu na pia experiences na kumbukumbu mlizojenga kama wapenzi kama wapenzi. Kwa mantik hio naamini kua bei ya zawadi does not always matter... What matters ni ile zawadi yasema nini? Mfano labda katika mahusiano yenu Mpenzi wako kisha wahi zungumzia "maybe nilikua na kitabu fulani cha mwandishi fulani - hua chaniuma saana kilipotea for I loved the book".... I am taking it kama utafanikiwa kukitafuta hicho kitabu na ndo ikawa zawadi.... Ataifurahia mno for the following reasons....
- Itaonesha wamkumbuka akiwa hayupo.
- Itaonesha wajali saaana kwa kuhakikisha anapata the one thing anapenda.
- Itaonesha you remember every moments (hata kama sio kweli wakumbuka).
- Itaonesha kweli wampenda. Ni tofauti kama ungemnulia tu zawadi ya thamani kubwa mno... YES atafurahi but it portrays a different message in the relationship kama sio tu kusema I can buy anything for you....
Mbu... Happy Festive Greetings to you....