Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
...aaahhh? siku hizi hakuna cha wa'wake wala wa'ume bana, ukipewa zawadi jua umetwishwa deni...!
yaani Lizzy utakubali upewe zawadi bure bure tu? hahaha....
...halafu kuna wengine akikupa zawadi siku ya valentine, unakumbushiwa kuilipa siku ya pasaka, siku ya iddi, na krismasi....! never ending aisee...
Hahahahha kwanini nisikubali Mbu?Mi si mdada bana. . . Lolzz
Ila kusema ukweli mimi mtu akinipa zawadi ambayo mwenyewe siwezi kuafford labda niache kula na kuvaa mwaka mzima sitopokea.Hayo ndio yale madeni yasiyolipika jumla. . . siku ukidaiwa iwe kwa kushikwa shati au kwa maneno mtaani UNALO!!
Hahahahaha. . . alafu hao wanaodai ujue hua wanatoa wakitegemea kupata zaidi ya walichotoa.Ni kama biashara kwao. . . akikupa ya 5 anategemea wewe upande juu na sio ushuke.