Mtihani, zawadi ya krismasi..!

Mtihani, zawadi ya krismasi..!

...aaahhh? siku hizi hakuna cha wa'wake wala wa'ume bana, ukipewa zawadi jua umetwishwa deni...!
yaani Lizzy utakubali upewe zawadi bure bure tu? hahaha....

...halafu kuna wengine akikupa zawadi siku ya valentine, unakumbushiwa kuilipa siku ya pasaka, siku ya iddi, na krismasi....! never ending aisee...

Hahahahha kwanini nisikubali Mbu?Mi si mdada bana. . . Lolzz

Ila kusema ukweli mimi mtu akinipa zawadi ambayo mwenyewe siwezi kuafford labda niache kula na kuvaa mwaka mzima sitopokea.Hayo ndio yale madeni yasiyolipika jumla. . . siku ukidaiwa iwe kwa kushikwa shati au kwa maneno mtaani UNALO!!

Hahahahaha. . . alafu hao wanaodai ujue hua wanatoa wakitegemea kupata zaidi ya walichotoa.Ni kama biashara kwao. . . akikupa ya € 5 anategemea wewe upande juu na sio ushuke.
 
Hiyo ya kusindikizana pasipo kikomo imenikumbusha mbali sana...enzi za sekondari. Kuna mshikaji alikuwa anafukuzia (sitasema lile jina usolipenda la d...mu) msichana flani hivi.

Walikuwa kila wakitoka twisheni wanasindikizana...wakifika kwa mmoja yule aliyefika kwao anamsindikiza tena mwenzake....lol.
Lolzzz. . . .
Mnasindikizana mpaka mmoja aitwe kwao.
Mnazawadiana mpaka mmoja afilisike. . .
 
...Kila la heri Mkuu mie nimeshamaliza "kulipa deni" la zawadi nilizozipata 🙂🙂....Si unajua vya mchina bei poa kabisa 🙂🙂...Siku ndiyo zinayoyoma hivyo Mkuu na kesho na kesho kutwa umati utakaokutana nao katika shopping za "lala salama" unaweza kujuta.

...nimefarijika sana kusoma sentensi hiyo hapo yenye wekundu, hizi zawadi za siku hizi ni deni bana.,...sasa mimi nimetwishwa hili deni yarabi stara weee....yaani hizi zawadi imekuwa kama tuna "bid" mwenye dau kubwa, arrghhh!

...halafu mtu mwenyewe ningekuwa nimemzowea angalau ingekuwa nafuu kidogo kujibaraguza,...

  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa kuna wale ambao usipowapa zawadi (wakati wao walikupa) watamwambia kila wamjuaye. Yaani haya mazawadi wakati mwingine yanakuwa pasua kichwa.
That's rather childish. . . .
Zawadi inageuka deni wakati hakukua na makubaliano!!
 
...nimefarijika sana kusoma sentensi hiyo hapo yenye wekundu, hizi zawadi za siku hizi ni deni bana.,...sasa mimi nimetwishwa hili deni yarabi stara weee....yaani hizi zawadi imekuwa kama tuna "bid" mwenye dau kubwa, arrghhh!

...halafu mtu mwenyewe ningekuwa nimemzowea angalau ingekuwa nafuu kidogo kujibaraguza,...

Kama ndiyo hivyo basi mtolee nje tu Mkuu!!! atajiju hahahahahah lol! Ya nini kujibaraguza kwa mtu ambaye hata hujamzoea? 🙂🙂....ahhhh vibaya hivyo!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mine just arriving

article-0-0F0ABF9900000578-835_634x398.jpg
 
Sasa kuna wale ambao usipowapa zawadi (wakati wao walikupa) watamwambia kila wamjuaye. Yaani haya mazawadi wakati mwingine yanakuwa pasua kichwa.

Sasa kamanda uliweza kweli kulala kwa utulivu?

...umeona ee? hahaha....yaani hizo reality checks zote nishatia tiki hapa,...
hii zawadi imekuwa kama bomu la kutega, naiangalia siitamani!

Hapajalalika bado hapa, kumi kasoro na kidogo (alfajr) mbu nipo na "kalkuleta"
bajeti haikubali!

Hahahahha kwanini nisikubali Mbu?Mi si mdada bana. . . Lolzz

Ila kusema ukweli mimi mtu akinipa zawadi ambayo mwenyewe siwezi kuafford labda niache kula na kuvaa mwaka mzima sitopokea.Hayo ndio yale madeni yasiyolipika jumla. . . siku ukidaiwa iwe kwa kushikwa shati au kwa maneno mtaani UNALO!!

Hahahahaha. . . alafu hao wanaodai ujue hua wanatoa wakitegemea kupata zaidi ya walichotoa.Ni kama biashara kwao. . . akikupa ya € 5 anategemea wewe upande juu na sio ushuke.

Lizzy mpaka hapa tupo mstari mmoja, nashukuru umenielewa concerns zangu...yaani panga pangua kuunusuru uso wangu inabidi nami nipandishe dau....aarrghh!
 
Mbu unajua unaweza ukafanya nini??
Kwasababu hamjazoeana (hivyo huoni kama alichokupa unastahili toka kwake) na mfuko hauruhusu kujitoa mhanga kwake. . . chukua hiyo zawadi uifunge upya, nunua na card ya asante + xmass na mwaka mpya, changanya alafu umtumie.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kama ndiyo hivyo basi mtolee nje tu Mkuu!!! atajiju hahahahahah lol! Ya nini kujibaraguza kwa mtu ambaye hata hujamzoea? 🙂🙂....ahhhh vibaya hivyo!!!!!

....lol.....hilo swali nami nimejiuliza kwanini kanitunuku zawadi hii ilhali hata 'hatujazoeana' ki viiile?
yaani maswali yanazidi majibu wallah!...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbu unajua unaweza ukafanya nini??
Kwasababu hamjazoeana (hivyo huoni kama alichokupa unastahili toka kwake) na mfuko hauruhusu kujitoa mhanga kwake. . . chukua hiyo zawadi uifunge upya, nunua na card ya asante + xmass na mwaka mpya, changanya alafu umtumie.

hahahahahaha!.....duhhh?
hii itakuwa kama shari vile....
dahhh?
ingekuwa wewe nakurudishia zawadi ungejisikiaje?
 
hahahahahaha!.....duhhh?
hii itakuwa kama shari vile....
dahhh?
ingekuwa wewe nakurudishia zawadi ungejisikiaje?
Atajuaje hujamnunulia inayofanana?

Mbu kwasababu kila suggestion unarudisha na maswali juu mi naaga.Heri mie nisie na presha ya kulipa madeni yanayokuja kwa njia ya zawadi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

....lol.....hilo swali nami nimejiuliza kwanini kanitunuku zawadi hii ilhali hata 'hatujazoeana' ki viiile?
yaani maswali yanazidi majibu wallah!...

....Ana lake jambo huyo!!! Mpotezee haraka sana wala usipoteze muda wako lol!
 
Mbu bwana, ulianza na Mapenzi sehemu za kazi, sasa umekuja na zawadi!! Duh

Haya wakati naendelea kufikiri cha kukushauri, hebu nitonye umesema zawadi ulopewa ina gharama kama Pound 150, nawe bado hujaifungua! Nakuja.
 
Mhhhhh!....Hilo varangati litakuwa la patashika nguo kuchanika lol!
 
Mimi bado mdogo sana kwa hili! I thought zawadi ni aina fulani ya "unafiki"!
 
Mbu,
Zawadi ni chochote. Kwenye upendo wa kweli haipaswi kuwa biashara. It is the thought that counts. Nunua anything small but nice ambacho kitamfurahisha mlengwa. U don't need to buy her diamonds. (Tuma hela nyumbani wakupelekee Tanzanite, its cheaper but unique hehehe)

Hapajalalika bado hapa, kumi kasoro na kidogo (alfajr) mbu nipo na "kalkuleta"
bajeti haikubali!

[/I]
[/FONT][/SIZE][/COLOR]
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Inawezekana ni utamaduni wake tu! Inawezekana kuna wema ulimtendea bila wewe kuuwazia sana na ukamgusa mtima wake. Inawezekana she had all that extra cash to spend. Hapa ndo wanaume huwa mnakosea, acting up! Be true to urself, jikune unapofikia na yeye ajue ana-deal na mtu wa aina gani. Sasa hivi utajitoa roho kupanda dau, ngoja valentine akuletee Ferrari ndo tutakapokuona kwenye tv "mbu arrested for bank robbery"
Shaurilo!

....lol.....hilo swali nami nimejiuliza kwanini kanitunuku zawadi hii ilhali hata 'hatujazoeana' ki viiile?
yaani maswali yanazidi majibu wallah!...
 
Hahahhhh BAK mie namtafutia zawadi ya kumrudishia huyu Rafiki

Hahahahahah lol! basi mie nikadhani unabeba mwiko ukaanzishe varangati dhidi ya la aziz....maana ile "nakuja" imekaa kishari shari lol!
 
Back
Top Bottom