B2T IMHO Naomba niseme kua uelewa wangu ni siri ya nyuma ya zawadi ulotumiwa ndo hufanya iwe nzuri ama mbaya (hasa kama kweli mwapendana kweli - achana na haya Mapenzi ya kuhongana!).
kakupa nini?
Mbu sena kwanza umepewa zawadi gani ili tukushauri vizuri. . . au angalau inahusiana na nini.
Mbu HONGERA saana kua na mpenzi ambae hukununulia zawadi... Wengine hilo limewashinda kabisa tokana na selfishness.. Or ile tu kutotambua kua kila mmoja uhitaji zawadi once in a while....
B2T IMHO Naomba niseme kua uelewa wangu ni siri ya nyuma ya zawadi ulotumiwa ndo hufanya iwe nzuri ama mbaya (hasa kama kweli mwapendana kweli - achana na haya Mapenzi ya kuhongana!); Kumnunulia Mpenzi wako zawadi muafaka ya kumfurahisha utegemea saana na jinsi gani mwaishi, nini yeye apenda, kitu gani katamani recently labda ikawa nje ya uwezo wenu na pia experiences na kumbukumbu mlizojenga kama wapenzi kama wapenzi. Kwa mantik hio naamini kua bei ya zawadi does not always matter... What matters ni ile zawadi yasema nini? Mfano labda katika mahusiano yenu Mpenzi wako kisha wahi zungumzia "maybe nilikua na kitabu fulani cha mwandishi fulani - hua chaniuma saana kilipotea for I loved the book".... I am taking it kama utafanikiwa kukitafuta hicho kitabu na ndo ikawa zawadi.... Ataifurahia mno for the following reasons....
Mbu... Happy Festive Greetings to you....
- Itaonesha wamkumbuka akiwa hayupo.
- Itaonesha wajali saaana kwa kuhakikisha anapata the one thing anapenda.
- Itaonesha you remember every moments (hata kama sio kweli wakumbuka).
- Itaonesha kweli wampenda. Ni tofauti kama ungemnulia tu zawadi ya thamani kubwa mno... YES atafurahi but it portrays a different message in the relationship kama sio tu kusema I can buy anything for you....
Inategemea huyo mtu unampango nae gani wewe binafsi na sio yeye.
Kwahio aina ya zawadi utakayompa wewe ni kutokana na na uzito gani unampa kwenye malengo yako na sio uzito wa zawadi yake.
Yeye kashakupa zawadi kutokana na jinsi anaona umuhimu wako kwake na wewe zawadi yako inatakiwa itokane hivyo na sio kupima kwa kutumia zawadi yake. Zawadi zina ujumbe mkuu kwahio na wewe peleka ujumbe ambao nafsi yako inamaanisha na sio kulingana. Na zawadi yake.
...ohoooo,....sasa nyie msilete za kumwaga mtama hapa,....naweza jitutumua kutaja zawadi halafu kina klorokwini waje nishushua bure hapa na uluga luga wangu...btw, nilipewa sharti la kutoifungua mpaka eti boxing day...
all in all, mnaniambiaje sasa....Ivuga na Lizzy imagine zawadi ina thamani approx £150 (tu)...(tshs laki nne kasoro za bongo?)
Kabla hamjanishawishi nijifunge mabomu, mkumbuke nategemewa na kijiji........wanasubiria sikukuu yao niwatumie pesa... 🙁
...ohoooo,....sasa nyie msilete za kumwaga mtama hapa,....naweza jitutumua kutaja zawadi halafu kina klorokwini waje nishushua bure hapa na uluga luga wangu...btw, nilipewa sharti la kutoifungua mpaka eti boxing day...
all in all, mnaniambiaje sasa....Ivuga na Lizzy imagine zawadi ina thamani approx £150 (tu)...(tshs laki nne kasoro za bongo?)
Kabla hamjanishawishi nijifunge mabomu, mkumbuke nategemewa na kijiji........wanasubiria sikukuu yao niwatumie pesa... 🙁
...duhhhh!?....wewe umenipa mtihani zaidi!....
inanibidi nikeshe sasa nikijaribu kutafsiri hii zawadi ina maana gani...
aisee?....nilidhani zawadi ni zawadi tu....kumbe kuna ujumbe ndani!
Pia kuna aina ya akina mimi. Tukitoa zawadi tunachotaka ni angalau ka asante tu, basi tunakuwa tumeshamalizana.
Huu kweli unaweza ukawa ni mtihani. Lakini inategemea na yeye mtoa zawadi ni mtu wa aina gani.
Kuna aina ya watu ambao wao wakimpa mtu zawadi basi na wao wanategemea kupewa zawadi na huyo mtu waliyempa zawadi.
Pia kuna aina ya akina mimi. Tukitoa zawadi tunachotaka ni angalau ka asante tu, basi tunakuwa tumeshamalizana.
Sasa Mbu wewe huyo mtu wako wewe ndiyo unamjua vizuri zaidi yetu sisi. Kama umeshamsoma vizuri ni mtu wa aina gani basi utakuwa na dhana nzuri ya nini ufanye.
Kama yupo kwenye kundi la akina mimi basi hata ka 'Thank you' card katatosha. Ila kama yupo kwenye lile kundi lingine hapo unaweza ukawa usiwe na ujanja zaidi la sivyo unaweza usieleweke kabisa.
Na wewe ukipewa. . . . . ?
...kamanda huu nao ni mtihani,....si nasikia hawa wenzetu (wadhungu) kipindi kama hiki ndicho cha kubadilishana zawadi, si ndio bana? sasa nikisema asante na card tu mnh...si ndio nitaonekana mi mandingos ndivyo ilivyo?
Nitaipokea kwa mikono yote miwili na kwa moyo mkunjufu kabisa kwani kukataa zawadi si uungwana.
Mwenzio kukufikiria na kutumia muda wake kwenda kutafuta na hatimaye kuinunua hiyo zawadi si jambo dogo la kuletea masikhara.
Wewe unaonaje?
Khaaaa. . . Mbu siri haizai bana!!
Nwy kusema ukweli hamna haja ya kujitutumua ufikie bei (kijijini watu watakosa pilau) kwahiyo we tafuta kitu cha bei ya kawaida kinachoendana na uhusiano wenu. Vitu kama PERFUME hua havijali mahusiano wala jinsia, so kama ni mtumiaji mtafutie ambayo iko kwenye SALE basi biashara imeisha. Chochote utakachompa zingatia bei (isiwe juu) na ujumbe. Hatutaki kushauri namna ya kuondoa ruba wakati ulimwita mwenyewe!!!
ingekuwa mimi natoboa box nachungulia..hawachelewi kukupa peni hawa
mimi nakushauri angalia post #2 kanunue zawadi boy