Mtihani, zawadi ya krismasi..!

Hahahahahah lol! basi mie nikadhani unabeba mwiko ukaanzishe varangati dhidi ya la aziz....maana ile "nakuja" imekaa kishari shari lol!

Hapana mie mpole sana na mwelewa, alishaweka wazi simu yake ni yake, marufuku prying! Sasa na hii zawadi aloleta nyumbani kwetu sasa nayo pia imepigwa ribiti!! Nitadeal naye baadae ngoja kwanza tutatue la zawadi. Lol

Mbu baby, mie sidhani kama unahitajiumiza kichwa katika hili. Mtafutie zawadi yoyote iliyo ndani ya uwezo wako. Ila tu zingatia ujumbe utakaowezabebeka ndani yake! Kama ni mtu ambaye hufikirii kumdate basi peleka zawadi yenye userious flani mf. Pen hahahaha hapana nadhan umeelewa, but kama una matarajio flan basi wawezaimntroduce topic through zawadi. ... Lingerie za Ivuga zinahusika hapa!
 
sasa wewe unataka kuonekana matawi wakati huna kitu.
 
Reactions: Mbu

Mbu... Umejichongea mwenyewe rafiki.... Umemdefine kwa Mlimbwende.... that means akuvutia in one way or another and you do appreciate urembo wake.... (as a man); For ungemchukulia kawa ungesema nimepewa zawadi na mdada.....lol... Wala mie simo Lakini... Vipi ushapata Utatuzi?
 
Reactions: Mbu

Soulmate mantahofu mupenzi wa roho,...huyu naona nitampelekea bundle la toilet rolls, 'always' na tissue za kujifutia machozi!

....lol....umenichekesha sana bana....kweli lakini haya ma distraction yanaweza kuni derail bure bure tu! hahaha...
 
hehehe Mzee Moskwito hawa jamaa zawadi kwao ni ujumbe (kama alivyokwambia Mzee Wenger), hayo ya thamani ni madogo sana, muhimu ni kuelewa huo ujumbe uliotumiwa na kujua urejeshe zawadi gani ili kujibu ujumbe ipasavyo?

Nitakupa mfano, kama zawadi ni nguo za ndani basi ina maana anakuuliza , "will u take me out"? jibu la "yes" unamrejeshea zawadi nguo za ndani pia. Jibu la "No" unamrejeshea chochote kisichokuwa nguo at all wala chenye romantic look, labda saa, simu e.t.c

hehehe utalijua jiji.
MJ1 ukiachwa solemba njoo kwa lawyer na virago vyako
 
....hahahaha, wakili acha kuchombeza bana....mwenyewe nishaeleweka kwa soulmate wewe unataka kulikoroga,
japo umenipa mwanga wa zawadi gani....
Huyu nikimpelekea zawadi ya Biblia hata mungu atanifurahia...
 
Sina comment maana naona sredi hii inachangiwa na madon! wa JF sie wa huku chini tunatazama tu halafu hiyo color ya zambarau inatuumiza macho hatuzioni vizuri ID zenu wakuu wa hili Jukwaa la JF
 
Huyu nikimpelekea zawadi ya Biblia hata mungu atanifurahia...
hehehehe lol hakyanani alosema Mbu katulia akaonane na Dr Riwa. Hapo utakuwa umeuwa kesi , mpelekee biblia bana.
 
Reactions: Mbu
Sina comment maana naona sredi hii inachangiwa na madon! wa JF sie wa huku chini tunatazama tu halafu hiyo color ya zambarau inatuumiza macho hatuini vizuri ID zenu wakuu wa hili Jukwaa la JF

El-toro that is not fair! Hata Fe lady akisoma hii post anaweza aahirishe kukupokea hii x-mas kwa mikono miwili.....lol... Sio kweli huu uzi anyone can contribute kama ulivofanya hapa.... Are you saying post ilikua inakataa? Hivo u/mnavojitenga ndo unaweka ubovu... Angalia mfano halisi wewe umenizidi jamvini for more than mwaka na nusu but hakuna alonikatalia kuchangia hapa... Nachangia siku zoote mpaka hatimae wazoeana na members.... Hivo karibu saaana mkuu (ingawa kiuhalisia wewe ndo ilitakiwa unipokee)
 
Reactions: Mbu
peleka chochote ukipendacho au akipendacho unachoweza nunua
 
Reactions: Mbu

Mimi na la-azizi wangu damu damu no matter what, nilikuwa najiuliza nimekutangulia humu JF ila mwenzangu DON humu na unapost 3 times more than mine aiseee hongera yako naomba uniPM nikupatie zawadi yako hope utaipenda
 
kama kakupa zawadi si lazima na wewe umpe
kwani mnalipana?
Utampa siku nyingine ukiwa na nafasi ya kufanya hivyo
kama ni a real friend ataelewa.
 
Reactions: Mbu
Sina comment maana naona sredi hii inachangiwa na madon! wa JF sie wa huku chini tunatazama tu halafu hiyo color ya zambarau inatuumiza macho hatuzioni vizuri ID zenu wakuu wa hili Jukwaa la JF

Acha hizo wewe mbona wewe mwenyewe ni don bana kama unajishusha wewe, wengine tusemeje??
 
kama kakupa zawadi si lazima na wewe umpe
kwani mnalipana?
Utampa siku nyingine ukiwa na nafasi ya kufanya hivyo
kama ni a real friend ataelewa.
 
Reactions: Mbu
pokea zawadi na si lazima zawadi utakayo mrudishia iwe na thamani ya juu zaidi ya hiyo aliyokupa wewe inaweza kuwa na thamani chini ya hapo ila tu iwe nzuri ambayo yeye hakutarajia.
 
Reactions: Mbu
Mimi na la-azizi wangu damu damu no matter what, nilikuwa najiuliza nimekutangulia humu JF ila mwenzangu DON humu na unapost 3 times more than mine aiseee hongera yako naomba uniPM nikupatie zawadi yako hope utaipenda

hahaha.... Eltoro... Asante Mkuu.
Hata hivo anakuja mtu on my behalf
huko PM.... Naomba mpe tu na umuamini.

Happy Festive Greetings...
 
kama kakupa zawadi si lazima na wewe umpe
kwani mnalipana?
Utampa siku nyingine ukiwa na nafasi ya kufanya hivyo
kama ni a real friend ataelewa.

Kongosho... Reading between the lines... Mbu is so ready kumpa kimwana zawadi, anaomba tu ushari ili atoe zawadi perfectooo...lol
 
Reactions: Mbu
Sina comment maana naona sredi hii inachangiwa na madon! wa JF sie wa huku chini tunatazama tu halafu hiyo color ya zambarau inatuumiza macho hatuzioni vizuri ID zenu wakuu wa hili Jukwaa la JF

...El Toro, AshaDii ameshanijibia yote...."sibagui sichagui, atayenizika simjui"...- aliimba muumin mwinjuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…