Mtihani, zawadi ya krismasi..!

...halafu dada'ngu wewe wajua kwenye kesi za usuluhishi nakutegemea?...hebu mswalie mtume bana,
soulmate hapendi.
 
kama kakupa zawadi si lazima na wewe umpe
kwani mnalipana?
Utampa siku nyingine ukiwa na nafasi ya kufanya hivyo
kama ni a real friend ataelewa.

mnh,....kibongo bongo hiyo, tena miaka ileee ya azimio la Arusha....
unapewa zawadi inakubalika, miaka hii ya dot.com
zawadi "mtego!"....

mfano; mabasi ya mikoani, pokea peremende toka kwa stranger uone madhara yake.
 
kama kakupa zawadi si lazima na wewe umpe
kwani mnalipana?
Utampa siku nyingine ukiwa na nafasi ya kufanya hivyo
kama ni a real friend ataelewa.

Kongosho kwani weye waitafsiri vipi zawadi?
mtu atayekupa zawadi huwajibiki kumzawadia pia, chochote?

hii sikukuu ya krismasi ina tafsiri moja kubwa, kuzaliwa kwa Jesus...lakini kwa wengi inatafsiri
zaidi ya hiyo mf; wachagga kurudi milimani kuhesabiwa,....

...huku ugenini maana yake kubadilishana zawadi!
 
basi ipo kazi,
kwa hiyo na mie zawadi zote nilizopokea inabidi nikalipe?
Mbona sina bajeti ya zawadi sasa hivi?

We potezea tu atakuchukuliz ivo ivo
hawa dot com wanaweza kukupasua
 
Reactions: Mbu

...halafu dada'ngu wewe wajua kwenye kesi za usuluhishi nakutegemea?...hebu mswalie mtume bana,
soulmate hapendi.

Nikutingisha tu Kiberit mbu.... A message have to go to em' ladies that Mbu is fully booked for the whole year of 2012!:eyebrows:
 
Reactions: Mbu
Nikutingisha tu Kiberit mbu.... A message have to go to em' ladies that Mbu is fully booked for the whole year of 2012!:eyebrows:

....LOL..you made our day!...kwa hisani ya soulmate, Thx!
 
Mi sijapata hata moja sijui kwanini!
 
Reactions: Mbu

lol....yasijemkuta yaliyonikuta!
LOL.. haki nimecheka kwa sauti.. Huyu wa kwako Mbu mie napendekeza mnunulie Marashi, wadada wengi huwa tunapenda hiyo zawadi.
 
Reactions: Mbu
LOL.. haki nimecheka kwa sauti.. Huyu wa kwako Mbu mie napendekeza mnunulie Marashi, wadada wengi huwa tunapenda hiyo zawadi.

hehehe
...ati ee?....nishauri manukato gani basi, nisijenunua kituko mie...nimebakiza masaa
machache ya kujibu mapigo ujue!
 
Sina wa kumtumia sijui nianze na nani!

...haya sasa, kumbe ndio maana hukumbukwi!....mtumie The Finest mtu powa sana, mtu wa watu.
 
hahaha.... Eltoro... Asante Mkuu.
Hata hivo anakuja mtu on my behalf
huko PM.... Naomba mpe tu na umuamini.

Happy Festive Greetings...
Nitamptaia tu japo ingekuwa na thamani kama ningekupatie wewe mwenyewe, nataraji utatumia busara kupokea mwenyewe kama ulivyoikubali na kusema asante in advance, BTW nimekuaadd kwenye list of my sistas after Afrodenzi na Desi
 
Eltoro nivavopenda zawadi... Naja sasa hivi ila naomba uwe umeiandaa nisikae saana maana sidhani kama mimi kuna haja ya kuja enjoy the coke side of you....lol...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…