Mtihani, zawadi ya krismasi..!

Mi nafikiri ukimnunulia zawadi ataona kama umelipiza sababu yeye amekununulia. Mwalike home msheherekee sikukuu au mnaweza kwenda mahali mkasheherekea pamoja. Zawadi waweza mnunulia hata baada ya sikukuu.
Kama ukishindwa hayo, usinunue kitu cha gharama zaidi ya hiyo, inaweza onekana kama mashindano. Lol!
Mtafutie kitu simple ila kizuri.
 
Reactions: Mbu

eeh? hebu fafanua
 
Reactions: Mbu
wanasheherekea pamoja. Kula na kunywa, story, kuangalia movie pamoja then kila mtu anarudi alipotoka.
Hivi inakuwa rahisi kiivyo? na je ushalielewa lengo la zawadi? uskute jimama la watu linaitafuta hiyo nafasi limalizane na Mbu. Maskini MJ1 kama namuona vile ndoa yake inavyosambaratishwa na Husninyo
 
hahahahahaha! Usinifanye nianze kuchakachua thread mbu. Najua umeelewa.
@mbu, kama utahitaji maelezo ya ziada nitarudi.
 
Khaa anamkaribisha sherehe ipi?!
 
Fide na Husy, hiki kisiki cha mpingo, kuking'oa kishindo.

Soulmate Laaziz, naomba nikupokee koti, pole kwa kazi! Nkupe juice au kahawa mpenzi? !

Ndo kwaaaaanza asubuhi!
 
Fide na Husy, hiki kisiki cha mpingo, kuking'oa kishindo.

Soulmate Laaziz, naomba nikupokee koti, pole kwa kazi! Nkupe juice au kahawa mpenzi? !

Ndo kwaaaaanza asubuhi!

Njoo lazizi unipokee na mabegi ya mapenzi nayatua kwako ufungue mwenyewe.
 
Fide na Husy, hiki kisiki cha mpingo, kuking'oa kishindo.

Soulmate Laaziz, naomba nikupokee koti, pole kwa kazi! Nkupe juice au kahawa mpenzi? !

Ndo kwaaaaanza asubuhi!

khaaa! Sisi yetu macho. Mbu kashakuletea zawadi yako eeh? Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…