ldd
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 790
- 128
Awa wadudu balaa, ukimnunulia hiyo ata cku moja hautamwona ameivaa, akienda kugongwa na mshkaji anayemfili ndo anaitupia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nafikiri ukimnunulia zawadi ataona kama umelipiza sababu yeye amekununulia. Mwalike home msheherekee sikukuu au mnaweza kwenda mahali mkasheherekea pamoja. Zawadi waweza mnunulia hata baada ya sikukuu.
Kama ukishindwa hayo, usinunue kitu cha gharama zaidi ya hiyo, inaweza onekana kama mashindano. Lol!
Mtafutie kitu simple ila kizuri.
eeh? hebu fafanua
Hivi inakuwa rahisi kiivyo? na je ushalielewa lengo la zawadi? uskute jimama la watu linaitafuta hiyo nafasi limalizane na Mbu. Maskini MJ1 kama namuona vile ndoa yake inavyosambaratishwa na Husninyowanasheherekea pamoja. Kula na kunywa, story, kuangalia movie pamoja then kila mtu anarudi alipotoka.
Hivi inakuwa rahisi kiivyo? na je ushalielewa lengo la zawadi? uskute jimama la watu linaitafuta hiyo nafasi limalizane na Mbu. Maskini MJ1 kama namuona vile ndoa yake inavyosambaratishwa na Husninyo
Mi nafikiri ukimnunulia zawadi ataona kama umelipiza sababu yeye amekununulia. Mwalike home msheherekee sikukuu au mnaweza kwenda mahali mkasheherekea pamoja. Zawadi waweza mnunulia hata baada ya sikukuu.
Kama ukishindwa hayo, usinunue kitu cha gharama zaidi ya hiyo, inaweza onekana kama mashindano. Lol!
Mtafutie kitu simple ila kizuri.
Khaa anamkaribisha sherehe ipi?!
Khaa anamkaribisha sherehe ipi?!
xmass! Presha imepanda mj1?
Hivi inakuwa rahisi kiivyo? na je ushalielewa lengo la zawadi? uskute jimama la watu linaitafuta hiyo nafasi limalizane na Mbu. Maskini MJ1 kama namuona vile ndoa yake inavyosambaratishwa na Husninyo
Uchumi umetikisika
kidonda unakipaka pilipili Khaaaa!
Ni kiungo kwa wenzetu baniani kuna muhindi mmoja na kazi kweli ya kumhonga pilipili kichaa
hahahahaha! Umeanza.
Fide na Husy, hiki kisiki cha mpingo, kuking'oa kishindo.
Soulmate Laaziz, naomba nikupokee koti, pole kwa kazi! Nkupe juice au kahawa mpenzi? !
Ndo kwaaaaanza asubuhi!
Fide na Husy, hiki kisiki cha mpingo, kuking'oa kishindo.
Soulmate Laaziz, naomba nikupokee koti, pole kwa kazi! Nkupe juice au kahawa mpenzi? !
Ndo kwaaaaanza asubuhi!
Pilipili hivi unatimia?
Yep! shem njoo tutabanana hapa hapa kwenye ki studio flat, ukichenji nguo nitafumba machoShemeji ulisemaje vile? Nije na virago vyangu?
Mbu!!