nimewahi kuwa shabiki wa Mtikila miaka ya 1980 na 90 mwanzoni....sifa yake kuuubwa ni kuwa mkweli na muwazi kwa kitu ambacho anaamini.
anachodai Mtikila katika waraka wake anaanza kuusambaza ni kua......kuna fursa katika taifa zinatolewa kwa kuangalia dini ya mtu wala siuwezo ama sifa alizonazo mtu katika nafasi husika...
kumekuwa na ugawaji wa nafasi za kitaifa kwa kuangalia dini ya mtu eti katika kubalansi mambo.
hili ni kosa.....Mtikila anachozungumza ni kile ambacho viongozi wengi WAKISTO WANAHISI.
Mgawanyo huu unaliangamiza taifa.
Mtikila anaongea kile ambacho kina Pengo,Malasusa wanauma maneno. ila chini ya kapeti wanazungumza. mitafaruku katika taifa hasa kati ya Kikwete na kanisa imekua mingi....wengi hawasemi waaaazi kama Mtikila, ila nyuma ya mawazo yake ndio mawazo ya Wakristo wengi kua Kikwete anatumika kama wakala wakuzuia ueneaji wa kanisa. Kikwete anapokea maagizo kutoka kwa maswahiba zake Arabuni kuangamiza Ukristo. mawazo haya hayasemwi wazi na Wakristo wengi , ila kuna manung'uniko, Mwangi wa maneno ua Rev Mtikila utasika kwa kila Mtanzania, na maneno hayo ni Ishara kuwa kuna kundi halilidhiki na utawala wa Muugwana.
Mwisho Mtikila anaungana na wapenda Mageuzi wooote hapa Tanzania kua kikwete hachaguliki na wala hapaswi kurudishwa tena katika nafasi hiyo.....amegeuka gunia la misumari, ukilibeba shurti uumie.....Asante Mtikila.